Fahamu Media

Fahamu Media We’re a digital media & production company creating content that makes you think.
| Instagram, YouTube, TikTok Musician.

27/08/2026

Shaa alikua mbele ya muda sana. Kipindi hicho alikuwa ni moja ya wasanii wachache - tena mwanamke ambae video zake zilikuwa zinapata nafasi kuchezwa Channel O.

Hiyo Channel O, Gen Z ilikuwa ni moja ya biggest flex miaka hiyo 😄 - yaani kideo chako kikichezwa, ina maana audio na video ipo na quality stahiki kabisa plus una management X network nzuri.

Akina Shaa, AY, Cpwaa, Black Rhyno walikuwa wanafanya vizuri kwenye projects zao especially upande wa visual na Channel O yalikuwa k**a makazi yao flani hivi.

Shida moja ya kuwa mbele ya muda, ni ukifika muda wenyewe - huwa ni ngumu ku compete maana kwa kiasi kikubwa ile motisha, preferences zinakuwa zime change.

Ndio maana mtu k**a Shaa now haumskii, sio kwamba hawezi ku compete - mara ya mwisho niliskia kaamua kuwekeza nguvu zake kwenye kilimo.

26/08/2026
Tofauti hii inasababishwa na kasi ya mfumo wa chakula (gut transit time), athari za homoni za k**e k**a progesterone, um...
25/08/2026

Tofauti hii inasababishwa na kasi ya mfumo wa chakula (gut transit time), athari za homoni za k**e k**a progesterone, umbo la nyonga, na kiwango cha chakula kinacholika.

Apply now!
24/08/2026

Apply now!

Today is the last day to apply!

We’re looking for a Visual Communications Officer to join our team.

If you have the skills and creativity, don’t miss this opportunity.

Apply now via; https://busaramusic.org/we-are-hiring-2027/

Applications close today!
-
FuTopia Zanzibar: 6–8 August 2027

Sauti za Busara: 19–21 March 2027

Ubishi unatokana na mchanganyiko wa vinasaba (genetics) na mazingira ya malezi (environment), lakini mazingira huchukua ...
24/08/2026

Ubishi unatokana na mchanganyiko wa vinasaba (genetics) na mazingira ya malezi (environment), lakini mazingira huchukua nafasi kubwa zaidi.

Kwa mujibu wa takwimu za Unicode Consortium, kupitia matumizi kote duniani kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa ya uju...
20/08/2026

Kwa mujibu wa takwimu za Unicode Consortium, kupitia matumizi kote duniani kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa ya ujumbe k**a WhatsApp, Instagram, na X (zamani Twitter).
-
Proudly supported by: Sauti za Busara & Futopia Zanzibar

✍️ Stunt MasterflexxKweli/Si kweli?
19/08/2026

✍️ Stunt Masterflexx

Kweli/Si kweli?

Moja ya njia ya nzuri ya kujaribu kuacha uvutaji wa sigara ni kutumia ni****ne gums, patches, au dawa zilizoidhinishwa n...
19/08/2026

Moja ya njia ya nzuri ya kujaribu kuacha uvutaji wa sigara ni kutumia ni****ne gums, patches, au dawa zilizoidhinishwa na daktari - kwa kiasi kikubwa husaidia kupunguza makali ya dalili za kuacha sigara!

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fahamu Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category