17/05/2026
Behind The Scenes at BBC
Kila mafanikio makubwa huanza na maandalizi makubwa nyuma ya pazia. Leo tumepata nafasi ya kipekee kuwa ndani ya studio za BBC, tukijifunza, tukishuhudia professionalism ya hali ya juu, na kupata experience ambayo wengi huiota.
Kutoka kwenye maandalizi ya vipindi, namna ya camera zinavyofanya kazi, hadi teamwork ya watu waliopo nyuma ya mafanikio ya BBC tumegundua kuwa ubora hauji kwa bahati, unajengwa kwa nidhamu, maarifa na passion.
Hii ni zaidi ya ziara ni motivation kwa kila mwanafunzi kuamini kuwa ndoto zake ni halali na zinawezekana.
Asante sana BBC kwa mapokezi mazuri na kwa kutupa elimu yenye thamani kubwa.