Tmedia ONE

Tmedia ONE Tunakupa tabasamu la ulimwengu wa michezo.

Pamoja na kwamba Ligi bado haijakamilika, pamoja na kwamba Timu 48 zinazoshiriki bado hazijajulikana........ yote hayo h...
02/10/2025

Pamoja na kwamba Ligi bado haijakamilika, pamoja na kwamba Timu 48 zinazoshiriki bado hazijajulikana........ yote hayo hayajazuia Mashabiki wa soka duniani kukimbilia tiketi za Kombe la Dunia la FIFA 2026 ambapo kuanzia leo Jumatano Oktoba 1, tiketi zimeanza kuuzwa rasmi kwa wale waliobahatika kuchaguliwa kati ya Waombaji milioni 4.5 kwenye droo iliyofanyika mwezi uliopita.

Taarifa iliyochapishwa na Shirika la Habari la AP, imeeleza kuwa FIFA imesema Washindi wa droo hiyo tayari wamearifiwa au watapokea barua pepe muda si mrefu kuwapa nafasi ya kwanza kununua tiketi katika siku chache zijazo ambapo Mashabiki wa soka wanaojitayarisha kushuhudia michuano hii mikubwa zaidi duniani wanakabiliwa na changamoto kadhaa k**a vile kupata viza kwani Marekani imekazia masharti ya uhamiaji.

Michuano hii itakayoshirikisha Mataifa 48 kwa mara ya kwanza itachezwa katika Nchi tatu mwenyeji ambazo ni Marekani, Canada na Mexico jambo ambalo tayari limepewa sifa k**a Kombe la Dunia kubwa zaidi katika historia
TUfuatilie SUBSCRIBE Yotube: TMEDIA ONE na TMEDIA TWO

01/10/2025
Mwamba watikisa tena ngome ya Sudan ikiwa ni dakika ya 73' Game On..........................Singida Black Stars 2-1 Al H...
15/09/2025

Mwamba watikisa tena ngome ya Sudan ikiwa ni dakika ya 73' Game On..........................Singida Black Stars 2-1 Al Hilal.

Kesho Ndo kesho. Wachezaji wa Klabu ya Yanga wakiwa katika maandalizi ya mwisho kabla ya kuivaa Simba katika fainali ya ...
15/09/2025

Kesho Ndo kesho. Wachezaji wa Klabu ya Yanga wakiwa katika maandalizi ya mwisho kabla ya kuivaa Simba katika fainali ya Ngao ya Jamii na Mechi ya Ufunguzi. Hii ni tmedia_one, Toa maoni yako ni nani kuibuka na ushindi hapo kesho.

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
24447

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tmedia ONE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category