MTOI Newz

MTOI Newz All updated news

01/10/2025

unalizungumziaje tukio hili.

Hospitali ya Taifa Muhimbili imekanusha taarifa inayosambaa mitandaoni kuwa imewafuta kazi wafanyakazi 200 kwa kuwa hain...
25/09/2025

Hospitali ya Taifa Muhimbili imekanusha taarifa inayosambaa mitandaoni kuwa imewafuta kazi wafanyakazi 200 kwa kuwa haina fedha za kuwalipa.

Taarifa iliyotolewa na hospitali hiyo imesema hadi kufikia Septemba 25, 2025, ina jumla ya wafanyakazi 4,326 ambapo wenye mikataba ya muda mfupi ni 251.

Share

Abbas Mwinyi ambaye ni mtoto wa Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi amefariki dunia leo Septemba...
25/09/2025

Abbas Mwinyi ambaye ni mtoto wa Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi amefariki dunia leo Septemba 25, 2025 katika Hospitali ya Lumumba, Unguja wakati akipatiwa matibabu.

follow MTOI Newz

Osman Dembele ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia mbele ya mpinzani wake mkubwa Lamine Yamal.Nimewawekea takwimu hapa...
22/09/2025

Osman Dembele ashinda tuzo ya mchezaji bora wa Dunia mbele ya mpinzani wake mkubwa Lamine Yamal.
Nimewawekea takwimu hapa zinazoonyesha kwanini Dembele na sio Lamine Yamal
Takwimu kuu: Dembélé vs Yamal

Lamine Yamal
Mechi (all competition) 55–56 mechi
Dakika alizocheza 4,500–4,650
mabao 18
Assist 21–23
mataji 3 ya ndani – La Liga, Copa del Rey, nk.)

OSMAN DEMBELE
54–55 mechi
3,300–3,600 dakika alizocheza
Mabao ~ 33–35
Assists ~ 13–16
(mataji) 4 UEFA Champions League, Ligi n.k

Tuambie kwenye comment amestahili au hakustahili
'or

Watu 31 wamefariki kutokana na mlipuko wa Ebola tangu kutangazwa kwake mwanzoni mwa Septemba, 2025 nchini Jamhuri ya Kid...
19/09/2025

Watu 31 wamefariki kutokana na mlipuko wa Ebola tangu kutangazwa kwake mwanzoni mwa Septemba, 2025 nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, huku visa 48 vya maambukizi vikithibitishwa, Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema.

WHO imesema imeanza kutoa chanjo kwa wafanyakazi wa afya wanaohudumia wagonjwa katika Mkoa wa Kasai, ambako mlipuko huo ulitangazwa.

Watu tisa wamefariki na wengine 16 wamejeruhiwa baada ya basi la abiria la Babu Trans lililokuwa likitokea Kondoa kuelek...
18/09/2025

Watu tisa wamefariki na wengine 16 wamejeruhiwa baada ya basi la abiria la Babu Trans lililokuwa likitokea Kondoa kuelekea Dodoma kugongana uso kwa uso na lori la mizigo katika eneo la Kambi ya Nyasa, wilayani Chemba, Dodoma.

K**anda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, ACP. Galus Hyera amesema chanzo cha ajali hiyo ni dereva wa lori kutofuata sheria za barabarani.

⭕️ Kylian Mbappé anakuwa mchezaji mwenye kasi zaidi wa Real Madrid kufikisha mabao 50 katika klabu hiyo tangu Ronaldo No...
18/09/2025

⭕️ Kylian Mbappé anakuwa mchezaji mwenye kasi zaidi wa Real Madrid kufikisha mabao 50 katika klabu hiyo tangu Ronaldo Novemba 2010:

◎ michezo 54 - Cristiano Ronaldo
◉ michezo 64 - Kylian Mbappé

🤍👽 𝟕 𝐠𝐚𝐦𝐞𝐬. 𝟕 𝐠𝐨𝐚𝐥𝐬. 𝟐 𝐚𝐬𝐬𝐢𝐬𝐭𝐬.

Kiwango cha kichaa kwa Kylian Mbappé akiwa na Real Madrid na Ufaransa msimu huu.

18/09/2025

Shabiki huyu mwenye ujasiri aweka historia...😄

Wakati majira ya baridi kali yanapoisha, hali ya hewa ya baridi inafifia, nuru huanza kuangaza, na dunia kupambwa na kij...
11/09/2025

Wakati majira ya baridi kali yanapoisha, hali ya hewa ya baridi inafifia, nuru huanza kuangaza, na dunia kupambwa na kijani kibichi na maua, Waethiopia waanza mwaka wao mpya.

Sherehe hii hupambwa kwa maua ya Adai, ambayo huashiria mwisho wa mwaka wa awali na mwanzo wa mpya.

Mwewe, ambao huashiria mwisho wa majira ya baridi na mwanzo wa enzi mpya, pia huanza kuonekana akiwa na manyoya yake mapya.

Waethiopia wanasherehekea mwaka wao mpya mnamo Septemba 1, wakikamilisha miezi 13 inayoufanya mwaka wao kuwa wa kipekee tofauti na maeneo mengine duniani ambako mwaka huwa na miezi 12.

Muda nao uhesabiwa tofauti

Muda unahesabiwa tofauti -ambapo siku ikiwa imegawanywa sehemu mbili za masaa 12 kuanzia 06:00, ambayo inafanya mchana na usiku wa manane saa sita kwa wakati wa Ethiopia.

Kwahiyo ukipanga kikao na mtu aliyeko Addis Ababa saa nne asubihi kwaajili ya kahawa-usishangae ukamuona huyo mtu akitokea saa sita.

Mahakama ya Wilaya ya Pangani mkoani Tanga imemhukumu Grayson Muze Msemo (55), mkazi wa Raskazoni, kifungo cha miaka 30 ...
11/09/2025

Mahakama ya Wilaya ya Pangani mkoani Tanga imemhukumu Grayson Muze Msemo (55), mkazi wa Raskazoni, kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa mwaka 1 na miezi 4.

Mahakama imesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo Septemba 1, 2025, eneo la Funguni Street, Pangani.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu 18 akiwemo Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha...
06/09/2025

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linawashikilia watu 18 akiwemo Katibu Mwenezi wa Baraza la Vijana Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Felius Festo Kinimi kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko kinyume na sheria na kuhamasisha vurugu.

Taarifa iliyotolewa na K**anda wa Polisi mkoani Kilimanjaro imesema tukio hilo limetokea maeneo ya Sambarai Kibosho Wilaya ya Moshi Septemba 06, mwaka huu.


K**a hujafollow MTOI Newz fanya kufollow mana vocha zimeanza kumwagwa uko.🥱

VOCHA TIME!!! VOCHA TIME!!!TUMEANZA NA WA HALOTEL SASA SADAKALAWE  MWENYE KUPATA APATE.Ukipata vocha piga picha tuwekee ...
06/09/2025

VOCHA TIME!!! VOCHA TIME!!!
TUMEANZA NA WA HALOTEL SASA SADAKALAWE MWENYE KUPATA APATE.

Ukipata vocha piga picha tuwekee kwenye comment. Ukikosa usiwaze Kaa karibu na MTOI Newz ili usikose ofa hizi ndyo zimeanza hivyo bado nyingi sana zitafata.
Comment mtandao ambapo ungependa next time tuweke vocha yake mtando utakaokua na comment nying ndyo tutaweka next time🙏

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255755632227

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MTOI Newz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MTOI Newz:

Share