
16/08/2025
Njoo ukutane na Mungu anayeinua, anayebariki na kugusa moyo wa kila anayemsogelea, ni kupitia madhabahu ya Kanisa la Efatha Mwenge siku ya kesho Jumapili.
Mungu ameweka neno lake kwenye kinywa cha Mtumishi wake ambalo litakuponya, litakufungua na litakukomboa.
Usikubali kuhadithiwa, andaa moyo wako!
Kuanzia saa mbili asubuhi Ibada hii itakuwa LIVE kupitia na kwenye kurasa zetu za You Tube na Facebook utaipata Ibada hii Mbashara kabisa.
Mungu amekukusudia mema, karibia hemani pake ukutane na uweza wake.