08/04/2026
*WHO IS AMANDA*
Hili swali najiuliza sana huyu Amanda ni nani ambaye inasemekana tasha ndo mwanamke wake anayempenda sana.
Kwanini tasha alimficha ili watu wasimjue?
Kwanini alipotajiwa na zawadi kuhusu Amanda alihamaki sana?
Kwanini tasha hata rafiki yake wa karibu mr kai bey alimficha kuhusu Amanda?
Je na wewe unajiuliza maswali haya k**a ninayo jiuliza mimi?
*WHO IS AMANDA*
*Ukitaka kumjua Amanda ni nani usikose kuangalia ep 29 ya ndoa*