Dsm Digital

Dsm Digital Dsm News

Simba wanakosa accurate ya kulenga goli na maamuzi sahihi kwenye actions zao za mwisho , wanafanya kila kitu kwa usahihi...
26/04/2026

Simba wanakosa accurate ya kulenga goli na maamuzi sahihi kwenye actions zao za mwisho , wanafanya kila kitu kwa usahihi hasa wakati wanaunda mashambulizi ila wakifika eneo la mwisho wanashindwa kutoa adhabu .

Mlandege wafanya build up vizuri kuanzia chini , wanaunganisha pasi zao vizuri + kuna talent kwa wachezaji wao wa mbele wana uwezo wa kufanya vitu vikatokea .

MICHEZO;  Kwa mujibu wa Mchambuzi, Hans Rafael, klabu ya yanga sc inahitaji kumsajili mshambuliaji, Selemani Mwalimu kwa...
17/04/2026

MICHEZO; Kwa mujibu wa Mchambuzi, Hans Rafael, klabu ya yanga sc inahitaji kumsajili mshambuliaji, Selemani Mwalimu kwa mkopo kutoka Wydad Ac kwa kiasi Cha Dola elfu hamsini za Kimarekani (sawa na Kati ya Milioni 115 hadi Milioni 130 za Kitanzania) ili kupata huduma yake.

Ikumbukwe, Selemani Mwalimu ambaye mkataba wake wa mkopo, Simba Sc unamalizika mwishoni mwa msimu huu. Alionekana akihudhuria kwenye Simba la KMC Complex hapo Jana kushuhudia mchezo baina ya Yanga Sc na Mbeya City.

Performance bora kutoka kwa Diarra ( Two Top Saves ) na kuifanya Yanga kuwa mchezo mpaka sasa ๐Ÿ”ฅ Ubora wa Yanga unaanzia ...
01/03/2026

Performance bora kutoka kwa Diarra ( Two Top Saves ) na kuifanya Yanga kuwa mchezo mpaka sasa ๐Ÿ”ฅ

Ubora wa Yanga unaanzia kwa Diarra na ndio aliyoamua Simba aende mapumziko bila goli .

Simba wapunguze uoga ,Damaro ni mtanzania na sio raia wa kigeni,wasilete vipingamizi vingi,waende kucheza derby,k**a ni ...
20/02/2026

Simba wapunguze uoga ,Damaro ni mtanzania na sio raia wa kigeni,wasilete vipingamizi vingi,waende kucheza derby,k**a ni kufungwa watafungwa tu hakuna namna nyingine,wameshindwa wenyewe kutengeneza timu bora k**a Yanga,nasikia wanataka kuhakikisha passport yake ili wajiridhishe kwamba kweli ni mtanzania au sio mtanzania ila ukweli ni kwamba Damaro ni mtanzania alishabadilisha uraia kwa taarifa ambazo mimi niko nazo. na Mchambuzi Alex Ngereza

MICHEZO; MICHEZO; CAFCLYANGA 3 - 0 JS KBFULL TIME
15/02/2026

MICHEZO; MICHEZO; CAFCL

YANGA 3 - 0 JS KB

FULL TIME

Admin wa Simba ameniambia hii picha haihusiani na yale yalitokea leo kwa hiyo niwe mpole ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.Nisifikiria jirani zao wanai...
15/02/2026

Admin wa Simba ameniambia hii picha haihusiani na yale yalitokea leo kwa hiyo niwe mpole ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Nisifikiria jirani zao wanaishi bure kwenye bure kichwa chake.

Tommy Setford aliingia dakika ya 87 kuchukua nafasi ya Kepa.Miaka 19 kijana mwingine anayetokea Hale End, Mikel Arteta a...
15/02/2026

Tommy Setford aliingia dakika ya 87 kuchukua nafasi ya Kepa.

Miaka 19 kijana mwingine anayetokea Hale End, Mikel Arteta alifanya siku yake kuwa bora zaidi kwa kumpa dakika kadhaa.

MICHEZO; Tulikuja kwa lengo la kushinda lakini bahati haikuwa kwetu. Tulipata nafasi za kufunga kwa bahati mbaya hatukuz...
08/02/2026

MICHEZO; Tulikuja kwa lengo la kushinda lakini bahati haikuwa kwetu. Tulipata nafasi za kufunga kwa bahati mbaya hatukuzitumia, tutarudi nyumbani kujipanga dhidi ya Kabylie, bado tupo kwenye mashindano, tutajipanga kushinda mechi kwasababu hatujui kitakachotokea mbeleniโ€

๐ŸŽ™๏ธ Allan Okello

MICHEZO; Klabu ya Siwelele Football Club imemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji Skudu Makudubela k**a mchezaji mpya wa...
05/02/2026

MICHEZO; Klabu ya Siwelele Football Club imemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji Skudu Makudubela k**a mchezaji mpya wa kikosi hicho akitokea Wiliete Sports Club.

Kupitia usajili huo, Skudu anarejea tena Afrika Kusini, ikiwa ni mara ya kwanza kurejea nyumbani tangu alipoondoka mwaka 2022, ambapo aliwahi kuzitumikia klabu mbalimbali barani Afrika ikiwemo Young Africans SC (Tanzania), AS Vita (DR Congo) pamoja na Wiliete Sports Club (Angola).

Mimi sio mtabiri ila sioni nafasi ya Yanga kufuzu robo fainali,wana alama tano sawa na FAR Rabat na mbaya zaidi mechi ij...
01/02/2026

Mimi sio mtabiri ila sioni nafasi ya Yanga kufuzu robo fainali,wana alama tano sawa na FAR Rabat na mbaya zaidi mechi ijayo wanaenda pale Prince Moulay Abdellah,mechi ya mwisho wanamaliza na JS Kabyle

Kuna zaidi ya asilimia 80 za Yanga kupoteza dhidi ya FAR Rabat na k**a watapoteza hiyo mechi As FAR watakuwa na alama 8,mchezo wa mwisho wanamaliza na Al ahly

Mechi pekee ambayo nina uhakika Yanga wanaweza kushinda au kupata sare ni mchezo dhidi ya JS Kabyle ambao tayari wamepoteza dira kwenye kundi. Anathibitisha Hilo Mchambuzi Makini KABISA Alex Ngereza

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dsm Digital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share