Mazengo Media

Mazengo Media Habari moto moto Burudani na Matukio

K**a ulitazama vizuri mechi ya leo toa neno moja kuhusu kiwango cha timu ya Yanga Sc, kwa sasa✍️
12/03/2026

K**a ulitazama vizuri mechi ya leo toa neno moja kuhusu kiwango cha timu ya Yanga Sc, kwa sasa✍️

Nataka nione Like nyingi mashabiki wa Yanga Sc, kwa huyu dada.
11/03/2026

Nataka nione Like nyingi mashabiki wa Yanga Sc, kwa huyu dada.

11/03/2026

Salamu za kipekee kwa mashabiki bora wageni! Amani Gongoro, Meshack Masalla, Debora Antony

Chama Jr, ndiye nyota wa mechi ya leo Singida vs Simba Ligi kuu Tanzania bara.
11/03/2026

Chama Jr, ndiye nyota wa mechi ya leo Singida vs Simba Ligi kuu Tanzania bara.

Baada ya kufanya mazoezi ya mwisho hapo jana kikosi cha Yanga Sc, leo kitaanza safari kwenda Dodoma, kuwavaa Tanzania Pr...
11/03/2026

Baada ya kufanya mazoezi ya mwisho hapo jana kikosi cha Yanga Sc, leo kitaanza safari kwenda Dodoma, kuwavaa Tanzania Prisons.

Ili tuwe mabingwa ligi kuu Tanzania bara ni lazima tushinde mechi dhidi ya Simba kocha wa Singida.
11/03/2026

Ili tuwe mabingwa ligi kuu Tanzania bara ni lazima tushinde mechi dhidi ya Simba kocha wa Singida.

Mwenendo mzuri wa Timu ya Simba umeanza kuwapa hofu baadhi ya mashabiki wa Yanga wakihofia kukosa ubingwa wa ligi kuu Ta...
11/03/2026

Mwenendo mzuri wa Timu ya Simba umeanza kuwapa hofu baadhi ya mashabiki wa Yanga wakihofia kukosa ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara msimu huu licha ya kuwa mbele kwa pointi 5 dhidi ya Simba,

Simba wameonekana kuongezeka uimara kwenye kikosi chao siku hadi siku baada ya usajili wa dirisha dogo.

Mechi nyingine ligi kuu Tanzania bara, mnyama Simba atashuka dimbani leo kuwakabili Singida.
11/03/2026

Mechi nyingine ligi kuu Tanzania bara, mnyama Simba atashuka dimbani leo kuwakabili Singida.

11/03/2026

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! James Myovela, Hassan Juma Kihumbi, Maxcelin Mlenge, Geremia Malagano, Joachim Magambo, Mohammed Said, Abdillah Decide, Platnum Hossein, Gidion Biruge, Zawadi Goodluck Mchome, Mercy Nekesa, Bahati M***a, Leslie Halla, Isaya Pwele, Suzana Venancy, Elisha Jastini, Stivin Elias, Sanjeev Kumar, Yahya Issa, Bakari Belekete, Mahmoud Jey, David Chaula, James Moshi, Justine Stanley, Fedrick John, Rainius Mailu, Tomasi Simoni, Chriss Mwenenyi, Samiya Vidipoo, Jibril Imaan, Wambula Peresi, Anna Kasoya, Jastin Mapoz, Elizabeth Ghati, Debora Antony, Kambarage Mabagala, Vita Bado, Hunter Hero, Ahamad Willson, Omari Athumani, Huseni Rabaar, Maombi Danford, Pius Scania, Wenslaus Andrea, Aniceth Godwine, Dorice Ajuna, Yunis Joseph

10/03/2026

Kwa Mazengo Media – Nimefanikiwa kuingia kwenye orodha yake ya kila wiki ya uhusikaji kwa kuwa mmoja wa washiriki wake bora!

Hiki wanachokifanya viongozi wa Yanga kitawapa shida baadae Kwenye ligi yetu Yanga inaonekana bora tukienda kimataifa Ya...
09/03/2026

Hiki wanachokifanya viongozi wa Yanga kitawapa shida baadae Kwenye ligi yetu Yanga inaonekana bora tukienda kimataifa Yanga ni timu dhaifu sana,

Unafunga Polisi Tanzania goli 7, unashindwa kufika hata robo fainali Caf?

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mazengo Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share