Fikra Films

Fikra Films We are a home for production and refinement of ideas, we believe every idea is an opportunity.

Maisha yapo speed sana, aliekuwa anamuita shemeji sasa hivi anamuita mpenzi wakeπŸ™ŒπŸ€£πŸ€£β€
05/07/2026

Maisha yapo speed sana, aliekuwa anamuita shemeji sasa hivi anamuita mpenzi wakeπŸ™ŒπŸ€£πŸ€£β€

04/07/2026

Wife material lazima atokee huku, nyie wengine endeleeni kujazana kitambaa cheupe.πŸ“ŒπŸ“

Busara ni kutomuuliza mtu jambo ambalo yeye amekuficha na hekima ni kumuonyesha kuwa haujui baada ya kujua alichokuficha...
24/06/2026

Busara ni kutomuuliza mtu jambo ambalo yeye amekuficha na hekima ni kumuonyesha kuwa haujui baada ya kujua alichokuficha.🧠✍🏿

πŸ’œ

Wapo wanaotaka ufanikiwe,lakini sio zaidi yao;
hapo ndipo tabasamu hubeba wivu uliojificha.

πŸ˜‹

22/06/2026
22/06/2026

X Sijapenda ulichofanya

18/06/2026

15/06/2026

Rip my friend 😭😭😭

13/06/2026

Mtoto wa Wema

13/06/2026

Ila Wanawake

13/06/2026

Kila kitu uja kwasababu.

Address

Magomeni
Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Fikra Films posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share