
17/09/2025
Kido oil Lubricants
Wauzaji wa Vilainisho
Vya Kila Aina kutoka Tanzania
Je, unatafuta mafuta ya injini ya ubora wa juu yanayoaminika duniani kote?
Tunashughulika na kila aina ya vilainishi kwa jumla ,
Tunakuletea chapa maarufu zaidi za vilainishi ili kufanya injini zako zifanye kazi kwa kiwango cha juu - iwe kwa matumizi ya magari,pikipik,Bajaji,Mitambo ya viwandani!
Tunasafirisha kwa Maeneo ya Ulimwenguni Pote
Chapa Zinazopatikana:
Jumla
-Mogas
-Orxy
-Lake
-Stanley
-Total
-Delo Caltex
- Shell
etc
Tupo Dar es Salaam kariakoo Mtaa wa Nyamwezi na Mafia Unaweza tupgia kwa mawasiliano zaidi +255763147798