12/06/2026
π Pale Olivia alipoamua kujisitiri na kujipendezesha mwenyewe ndani ya Viona Salon πβ¨
Makeup hii amejipaka mwenyewe, na kwa kweli imenifanya nijivunie sana. π
Kila siku naona dalili za ujasiri, ubunifu na kujifunza. Haya ndiyo mambo yanayojenga viongozi wa kesho.
Super proud of my beautiful daughter, Olivia. πΉ
Huenda huu ndio mwanzo wa safari ya mrithi wa Viona Touch anayekua hatua kwa hatua mbele ya macho yetu. β¨
Mungu azidi kumuongoza, kumpa hekima na kumbariki katika kila hatua ya maisha yake. π€