Amoux Media

Amoux Media Welcome To The Digital Revolution
Entertainment News | Sports | Celebrity Lifestyle,Drama&Gossip
CO & Founded By
Follow

Waandaaji wa tamasha la  wametangaza list ya wasanii kutoka Afrika watakaotumbuiza kwenye tamasha hilo 2027.Tamasha hilo...
24/09/2026

Waandaaji wa tamasha la wametangaza list ya wasanii kutoka Afrika watakaotumbuiza kwenye tamasha hilo 2027.

Tamasha hilo litafanyika siku 3 mfululizo ambapo tayari list ya wasanii watakao Perfom siku ya kwanza imetangazwa wasanii hao.

Kikosi cha Simba Sc kinajiandaa kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kuweka kambi ya maandalizi ya michezo ijayo.kik...
19/09/2026

Kikosi cha Simba Sc kinajiandaa kwenda nchini Afrika Kusini kwa ajili ya kuweka kambi ya maandalizi ya michezo ijayo.

kikosi hicho kinatarajiwa kuondoka Alhamisi kuelekea nchini humo ambakk kitaweka kambi ya siku 10 kwa maandalizi maalumu kuelekea ratiba ya mashindano ambayo Simba Sc inashiriki ikiwemo Ligi kuu ya Tanzania na ligi ya mabingwa Afrika.

Muigizaji maarufu Nchini Tanzania  amechaguliwa kutangaza tuzo kubwa Feature Awards Africa zinazotarajiwa kufanyika Nchi...
18/09/2026

Muigizaji maarufu Nchini Tanzania amechaguliwa kutangaza tuzo kubwa Feature Awards Africa zinazotarajiwa kufanyika Nchini Nigeria September 20 mwaka huu.

Baada ya mwaka jana The Weekend kusema kuwa anafikiria uwezekano wa kustaafu muziki lakini sasa amebadili maamuzi hayo n...
17/09/2026

Baada ya mwaka jana The Weekend kusema kuwa anafikiria uwezekano wa kustaafu muziki lakini sasa amebadili maamuzi hayo na amesema hana mpango wa kuacha muziki.

Msanii wa Afrobeats Burnaboy anatarajiwa kuongoza show ya wakati wa mapumziko kwenye mchezo wa ufunguzi msimu mpya wa NF...
17/09/2026

Msanii wa Afrobeats Burnaboy anatarajiwa kuongoza show ya wakati wa mapumziko kwenye mchezo wa ufunguzi msimu mpya wa NFL katika mchezo kati ya Pittsburgh Steelers dhidi ya New Orleans Saints kwenye uwanja wa Stade De France jijini Paris nchini Ufaransa Oktoba 25,2026.

Baada ya ushindi wa tuzo mbili za Afrimma Juma Jux ametangaza kufanya ziara nchini Marekani itakayoanza November mwaka h...
16/09/2026

Baada ya ushindi wa tuzo mbili za Afrimma Juma Jux ametangaza kufanya ziara nchini Marekani itakayoanza November mwaka huu 2026.

Mchezo umemalizika na Brighton kuibua na ushindi wa magoli 3 dhidi ya Man Unt.
16/09/2026

Mchezo umemalizika na Brighton kuibua na ushindi wa magoli 3 dhidi ya Man Unt.

Mchezo Wa Ligi Kuu NBCPremierLeague    umemalizika katika dimba la Chamanzi Complex Simba yaibuka na ushindi wa 2 dhidi ...
16/09/2026

Mchezo Wa Ligi Kuu NBCPremierLeague umemalizika katika dimba la Chamanzi Complex Simba yaibuka na ushindi wa 2 dhidi ya Azam Fc.

FT: Simba Sc 2 - 0 Azam Fc

Baada ya kufanya kazi miaka 9 ikiwa njia ya vijana kutimiza ndoto zao kwenye tasnia ya stand up comedy hatimaye CHEKA TU...
14/09/2026

Baada ya kufanya kazi miaka 9 ikiwa njia ya vijana kutimiza ndoto zao kwenye tasnia ya stand up comedy hatimaye CHEKA TU wametangaza kufika ukingoni mwa safari yao.

Dancer  kutoka nchini Nigeria Poco Lee ameonekana akila maisha na mwanamuziki Burnaboy baada ya kuachiwa huru alipofungw...
14/09/2026

Dancer kutoka nchini Nigeria Poco Lee ameonekana akila maisha na mwanamuziki Burnaboy baada ya kuachiwa huru alipofungwa kwa wiki kadhaa nchini Uingereza.

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Amoux Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share