Kaka Jusam

Kaka Jusam Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kaka Jusam, Digital creator, Dar es Salaam.
(1)

Content Creator | Teacher | Psychologist | Nutritionist | Psychosexual Counselor | BABA
Karibu Upate Elimu Ya Afya, Mahusiano Na Maisha Na Tiba Asili Kwa Matatizo Mbalimbali Ya Kiafya.

08/07/2026

Wana sifa gani hawa, Nisije KujichanganyašŸ¤£šŸ¤£šŸ¤¦šŸŽ¤

08/07/2026

Jina langu ni Zawadi. Nina miaka 45 na tumekaa na mume wangu miaka 18.

Tatizo lilianza miaka 3 iliyopita. Anakuja nyumbani amelewa, anapiga kelele, ananitukana mbele ya watoto. Mara nyingine ananishika mkono kwa nguvu akisema "wewe huna maana". Hana kazi ya uhakika lakini anataka mimi nipe kila senti. K**a nikikataa ananifungia mlango njaa.

Nimejaribu kuongea naye kwa upole, nimeenda kwa wazee, lakini wiki mbili anakuwa sawa halafu anarudi vilevile. Watoto wameniona nalia. Moyo wangu umechoka.

Sasa naomba ushauri wenu:
1. Niendelee kuvumilia "kwa ajili ya watoto" au niweke mipaka?
2. Nikitoka nitaishi vipi na watoto 3?
3. Kuna mtu aliwahi kupita kwenye hili akapona? Nisaidieni tafadhali...

Sijui la kufanya tena. Nimechoka kulia usikušŸ˜­šŸŽ¤

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kaka Jusam posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share