Nuru Studios

Nuru Studios Digital creater ,Misician

14/04/2026

Available in all digital platform

14/04/2026

MUNGU NI PENDO

14/04/2026

MTU K**A MIMI SIKU HESABIKA 😭 Powerful Swahili Gospel Song 2026 | Nuru Sounds **aMimi

26/01/2026

Hadithi ya Mwalimu Asiye na Kichwa. Huyu alikuwa mwalimu wa kawaida mchana…
lakini usiku, alibadilika na kuwa kiumbe wa kutisha asiye na kichwa 😱
Wanafunzi wawili walidhani wanamfanyia mzaha tu mwalimu wao, bila kujua wanacheza na siri hatari. Baada ya tukio la ajabu shuleni, ukweli wa kutisha ukaanza kujitokeza mmoja baada ya mwingine. Kichwa cha mwalimu kinapotea, siri nzito zinafichuliwa, na muuaji wa kweli anaanza kujulikana.
Hii ni movie recap ya kutisha iliyojaa hofu, mshangao, na mwisho usiotarajiwa.
⚠️ Usikose hadi mwisho!
👉 K**a unapenda hadithi za kutisha, horror recap, na simulizi za ajabu,
SUBSCRIBE / FOLLOW kwa video zaidi 🔥

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nuru Studios posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share