10/02/2026
.
Baada ya kuwa sehemu ya kikosi cha Simba Sports Club kwa misimu minne na nusu, 𝐊𝐈𝐁𝐔 𝐃𝐄𝐍𝐈𝐒 ‘Mkandaji’ ameuzwa na sasa anakwenda kuanza maisha mapya nje ya Simba SC akiienda kuitumikia club ya Al Naseer ya Libya.