Jabu Swalehe

Jabu Swalehe Radio & TV Presenter | Journalist | Football | Lifestyle | Chasing Truth. Inspiring People. ✨ ✍️

15/06/2026

Ivory Coast imekuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kuonja ushindi katika Kombe la Dunia 2026 baada ya kuifunga Ecuador mabao 1-0, huku Amad Diallo akifunga bao la ushindi dakika ya 90.

Ushindi huo umeipa Ivory Coast pointi tatu muhimu na kuiandikia historia k**a taifa la kwanza la Afrika kushinda katika michuano hiyo ya mwaka 2026.

14/06/2026

MCHEZAJI PEKEE ALIYEITAJA SIMBA NI CHUO CHA MPIRA TANZANIA, Bernard Morrison

🇹🇿

14/06/2026

LICHA YA SIMBA KUPATA USHINDI ILA KUNA MATUKIO YA WAZI WAZI REFA ALIYAFUMBIA MACHO, TAZAMA HIZI MBILI???

🇹🇿

14/06/2026

Nestory Irankunda ni mshambuliaji mwenye umri wa miaka 20 aliyezaliwa Tanzania na kukulia Australia.

Katika mchezo wa Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Uturuki, Irankunda aliandika historia kwa kufunga bao la kwanza la Australia dakika ya 27, akichangia ushindi wa mabao 2-0.

14/06/2026

New York Knicks wameandika historia kwa kutwaa ubingwa wa NBA 2026 baada ya kuichapa San Antonio Spurs kwa alama 94-90 kwenye Game 5

Na kushinda fainali kwa jumla ya 4-1. Ni ubingwa wao wa kwanza tangu mwaka 1973, wakimaliza ukame wa zaidi ya nusu karne. 🔥🏀

🏆🔥

13/06/2026

Mashabiki wa Brazil wameonekana kwa wingi wakitawala eneo la Times Square nchini Marekani kuelekea mchezo wa ufunguzi wa timu yao kwenye Kombe la Dunia 2026.

Nyimbo, bendera za njano na kijani pamoja na shamrashamra zimeonyesha jinsi Wabrazil walivyo tayari kuiunga mkono timu yao.

💭 Je, unaamini Brazil itaanza Kombe la Dunia kwa ushindi?

🇧🇷🔥

13/06/2026

Tazama kabla na BAADA ya MCHEZO 😂😂😂Una kipi cha kumshahuri KOCHA Julio? Weka comment

🇹🇿 yangasc mashujaafcofficial

13/06/2026

MASHUJAA 0 vs 1 YANGA
🇹🇿

13/06/2026

MASHUJAA vs YANGA
🇹🇿

13/06/2026

JE TAMBO ZA KOCHA JULIO ZITATIMIA LEO😂,, Weka UTABILI wako mechi hii Nani kuibuka na ushindii

🇹🇿🇹🇿

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jabu Swalehe posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share