REMMY BM.

REMMY BM. I'm a fan of Simba SC Tanzania,
Manchester United,
Barcelona. I BELIEVE IN GOD.

01/06/2026
17/05/2026

TRA United leo uso kwa uso kwenye robo fainali ya Kombe la CRDB

Tuzo ya man of the match
07/05/2026

Tuzo ya man of the match

Mchezo mzuri wa kwenda kumwangalia mnyama Simba SC Tanzania  kwa mara nyingine ndani ya uwanja wa nyumbani Maj Gen Isamu...
05/05/2026

Mchezo mzuri wa kwenda kumwangalia mnyama Simba SC Tanzania kwa mara nyingine ndani ya uwanja wa nyumbani Maj Gen Isamuhyo

NITAJIE MAJINA YA HAWA WACHEZAJI
05/05/2026

NITAJIE MAJINA YA HAWA WACHEZAJI

05/05/2026

Hii ilikuwa safari ya kuelekea uwanjani Maj Gen Isamuhyo kwenye derby ya Kariakoo na Jangwani.

Marefa wa Tanzania jifunzeni japo kidogo kwa refa huyu aliyeweza kusimamia sheria 17 za mchezo hakika heshima yenu itaru...
30/04/2026

Marefa wa Tanzania jifunzeni japo kidogo kwa refa huyu aliyeweza kusimamia sheria 17 za mchezo hakika heshima yenu itarudi ila kwa mwenendo wenu basi kuchaguliwa kwenye mashindano makubwa ya Caf na FIFA mtaendelea kusikilizia kwenye redio japo mna taaluma hiyo

Leo ni siku ya kazi kazi nani ataondoka na Kombe la Muungano kati ya Simba na Yanga?
29/04/2026

Leo ni siku ya kazi kazi nani ataondoka na Kombe la Muungano kati ya Simba na Yanga?

Huyu kijana Mbegu anapaswa alindwe sana
27/04/2026

Huyu kijana Mbegu anapaswa alindwe sana

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when REMMY BM. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share