Kumbuka Insights

Kumbuka Insights Kumbuka Insights ✨️
Guiding lives through wisdom & thought

Faith • Reflection • Purpose • Wisdom
Rooted in Africa 🌍
Author | Creator | Believer 🙏

29/08/2026

Kumbuka Na Hili…

Kuna vitu vinakukataa
ili vikulinde.

Si kila kukataliwa
ni hasara.

Wakati mwingine
mlango unaofungwa
unakuepusha na njia
ambayo usingeweza kuiona vizuri.

Kuna mambo
uliyoyataka sana,
lakini baadaye ukaelewa
kwa nini hayakutokea.

👉 Usilazimishe kila kukataliwa; huenda kilichokuumiza leo ndicho kilichokulinda kesho.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kumbuka Insights posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share