27/09/2026
Nasibu Abdul (Diamond Platnumz) amekuwa akiwashangaza na kuwavutia wengi kwa kusoma vifungu vya Biblia, licha ya kwamba yeye mwenyewe ni Muislamu.
Ikumbukwe siku chache zilizopita kumeibuka mitadala mingi kuhusu wimbo wa "Nikumbuke" wa Joel Lwaga ft. Diamond Platnumz.
Baadhi ya watu wameonekana kukosoa kwa nini msanii wa Bongo Fleva (na Muislamu) aimbe wimbo wa Gospel, Diamond amewajibu wakosoaji wake kwa kusoma na kunukuu vifungu vya Biblia k**a vile Luka 5:31-32 na Mathayo 9:10-13.
Diamond anaendelea kusisitiza kwamba "wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa,"
Wewe unamaoni gani , tuandikie hapa ππ
Usisahau Ku-follow