Joex Media Group

Joex Media Group Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Joex Media Group, Media/News Company, PO BOX 77087, Dar es Salaam.

11/07/2026

Act Wazalendo yasema haijawahi kuleta kipengele cha kuingia serikalini

11/07/2026

Chama cha Act wazalendo kimesema hakikubaliani na tangazo la Waziri wa Mambo ya ndani Mhe Patrobas Katambi la kuzuia mikutano ya hadhara.

06/07/2026
06/07/2026

Msajili wa vyama vya siasa awalima Chadema barua

06/07/2026

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Ndg John John Mnyika amesema kesi iliyoko mahakamani ya Mgawanyo wa mali haina maana yoyote wala masrahi yoyote kwa taifa badala yake wanapotezewa muda ty hivyo kuomba kesi hiyo iondolewe mahakamani kwa ajili ya kulinda rasirimali za nchi.

Fuatilia Youtube Joex News kwa habari hii zaidi

04/07/2026

Wananchi hawapoi wala hawaboi parade la ubingwa likiendelea hapa Jangwani

04/07/2026

Burudani mbali mbali zikiwa zinaendelea hapa Jangwani ,makao makuu ya Yanga SC katika sherehe ya kusherehekea ubingwa ligi kuu ya NBC katika msimu wa 2025/2026

04/07/2026

Hali ilivyo hivi sasa hapa Jangwani maandalizi ya parade la wananchi.

JESHI LA POLISI LAKIRI KUPOKEA TAARIFA YA KIFO CHA ALIEKUA DEREVA WA MAKAMO MWENYEKITI CHADEMA BARA, LINASISITIZA BADO U...
01/07/2026

JESHI LA POLISI LAKIRI KUPOKEA TAARIFA YA KIFO CHA ALIEKUA DEREVA WA MAKAMO MWENYEKITI CHADEMA BARA, LINASISITIZA BADO UCHUNGUZI UNAENDELEA NA KUWATAKA WANANCHI KUA WATULIVU HUKU SWALA HILO LIKIENDELEA KUCHUNGUZWA NA VYONBO VYA KIUCHUNGUZI

01/07/2026

Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema hii leo kimetangaza kifo cha aliekua Dereva wa Makamo mwenyekiti wa Chama hicho Bara,

Akitoa taarifa hiyo Naibu katibu mkuu wa chama hicho kwa upande wa Bara ndg, Amani Golugwa amesema kwamba hii leo asbh dereva huyo amekutwa na umauti huo akiwa amelala kwenye nyumba ya kufikia wageni aliyofikia katika mkoa wa Kigoma

Taarifa zaidi kuhusu tukio hili zinaendelea kufuatiliwa na mara baada ya uchunguzi wa jeshi la polisi tutakuhabarisha kwa kina nini ambacho kimejili

Address

PO BOX 77087
Dar Es Salaam
14111

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Joex Media Group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share