Bongo Jamii

Bongo Jamii 💥Officia Bongo Jamii (BJ) 🇹🇿
🚨Habari | Burudani | Jamii | Michezo ⚽️

……🚨 kuna watu utaanza kuwasikia wanasema msimu huu Yanga Bingwa tena
13/08/2026

……🚨 kuna watu utaanza kuwasikia wanasema msimu huu Yanga Bingwa tena

….🚨Huu unaitwa undava undava, Yanga wakiamua lao lazima litimie
11/08/2026

….🚨Huu unaitwa undava undava, Yanga wakiamua lao lazima litimie

….🚨Mpaka muda huu hakuna Mwanasimba anayeamini kuwa Selemani Mwalimu ni Mwananchi ✅Yanga wamepata mtu hapa??Follow: ✅.
11/08/2026

….🚨Mpaka muda huu hakuna Mwanasimba anayeamini kuwa Selemani Mwalimu ni Mwananchi ✅

Yanga wamepata mtu hapa??

Follow: ✅.

10/08/2026

: "Ukimcha Mungu na ni muoga wa maisha utakufa maskini. Matajiri wote walifanikiwa kwanza kwenye imani na fikra zao kabla ya kumiliki mali, imani binafsi ndiyo itakayokupa mafanikio" - Cosmas Madulu - Mwanasaikolojia

Ukiona hujaelewa sikuliza mara ya pili🤝

Follow:

10/08/2026

: "Imani ya Mungi itakusaidia kwenye ufalme wa Mungu ila siyo kwenye dunia hii, imani itakayokupa mafanikio ni imani yako binafsi" - Cosmas Madulu - Mwanasaikolojia

Ukiona hujaelewa sikuliza mara ya pili🤝

Follow:

10/08/2026

Tutaelewana tu taratibu 😂😂😂😂😂

Follow:

10/08/2026

Mna uhakika mfumo haujadukuliwa hapa kweli?😂👇

Follow

……🚨 Niwe tu mkweli nitakuwa  mtu wa mwisho kuamini k**a hapa kwa Ibrahim Doumbia Simba wamepata Mshambuliaji🙌Follow: Bon...
10/08/2026

……🚨 Niwe tu mkweli nitakuwa mtu wa mwisho kuamini k**a hapa kwa Ibrahim Doumbia Simba wamepata Mshambuliaji🙌

Follow: Bongo Jamii✅

….🚨 Kwa Hali hii tarehe 12 tutaona mengi kwa kweli🙄😆Au Shalulile Leo hakuwepo?Follow: .
09/08/2026

….🚨 Kwa Hali hii tarehe 12 tutaona mengi kwa kweli🙄😆

Au Shalulile Leo hakuwepo?

Follow: .

09/08/2026

Alivyoanza kistaarabu mwisho ak**aliza k**a Dudubaya😂🙌

FOLLOW: Bongo Jamii✅

Address

Box 4374
Dar Es Salaam
11000

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo Jamii posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share