JamiiPost

JamiiPost Matukio na Maisha Halisi ya Jamii Tanzania

Vita ni mbaya sana inatenganisha Baba na Familia yakeThank you for your Service 🫡🫡🫡
15/03/2026

Vita ni mbaya sana inatenganisha Baba na Familia yake
Thank you for your Service 🫡🫡🫡

Pumzika Kwa Amani Mtoto Mzuri🥹🥹
15/03/2026

Pumzika Kwa Amani Mtoto Mzuri🥹🥹

Kim Jong Un ashuhudia zoezi la kurusha makombora ya masafa marefu akiwa na binti yake mapema leo 😳🚨Katika mazoezi hayo, ...
15/03/2026

Kim Jong Un ashuhudia zoezi la kurusha makombora ya masafa marefu akiwa na binti yake mapema leo 😳🚨

Katika mazoezi hayo, Korea Kaskazini ilirusha makombora 12 ya usahihi wa hali ya juu (ultra-precision launchers), yakipiga shabaha iliyoko umbali wa kilomita 364 katika Bahari ya Japani.

Baada ya majaribio hayo ya mafanikio, Kim Jong Un amesema kuwa wapo tayari kwa lolote litakalofuata…

Inaonekana Kim Jong Un anazidi kumwandaa binti yake hadharani huku akionyesha nguvu za kijeshi kwa dunia.

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha ameuagiza uongozi wa Chuo cha Ardhi Tabora kuwafukuza wanafunzi 15 baada ya kubainik...
07/03/2026

Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha ameuagiza uongozi wa Chuo cha Ardhi Tabora kuwafukuza wanafunzi 15 baada ya kubainika kuhusika katika tukio la jinai la kumshambulia mlinzi wa chuo hicho aliyekuwa na silaha na kumsababishia majeraha ikiwemo kuvunjwa meno.

Taarifa zinaeleza kuwa wanafunzi hao walimtuhumu mlinzi huyo kwa kuwaibia nguo walizokuwa wameanika baada ya kufua, huku baadhi yao wakidaiwa kutumia visu kuwatishia wenzao, hali iliyohatarisha usalama chuoni hapo.

Wanafunzi hao kwa sasa wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Tanzania na wanatarajiwa kufikishwa mahakamani baada ya uchunguzi kukamilika.

✍Juma Kapipi
Mhariri | John Mbalamwezi

Kiboko ya Magaidi👊👊👊
06/03/2026

Kiboko ya Magaidi👊👊👊

"Ninaomba neema yako na ulinzi wako juu yake. Tunawaombea wanaume na wanawake wetu wote wanaohudumu katika jeshi letu. N...
06/03/2026

"Ninaomba neema yako na ulinzi wako juu yake. Tunawaombea wanaume na wanawake wetu wote wanaohudumu katika jeshi letu. Na Baba tunaomba tu uendelee kumpa Rais wetu nguvu anayohitaji ili kuliongoza taifa letu kubwa tunaporudi kwenye taifa moja chini ya Mungu, lisilogawanyika lenye uhuru na haki kwa wote. Tunaomba baraka zako za mbinguni ziwe juu yake katika jina la Yesu. Amina." -

Rais wa Marekani Donald Trump Huwa anawakaribisha wachungaji kutoka kote nchini kwa muda wa maombi katika Ofisi ya Oval.

Makazi ya kiongozi mkuu wa Iran kabla na baada ya Mission.
01/03/2026

Makazi ya kiongozi mkuu wa Iran kabla na baada ya Mission.

Irani hataki wenzake waishi kwa Amani Vita ni mabaya sana inaweza Fanya mijibyote hii ibaki Vumbi.
01/03/2026

Irani hataki wenzake waishi kwa Amani
Vita ni mabaya sana inaweza Fanya mijibyote hii ibaki Vumbi.

Mwaka Jana Kuna mwanasayansi wa Irani ambae alikuwa mtu muhimu kwenye mambo Yao ya nyuklia aliletewa Bomu Hadi kitandani...
01/03/2026

Mwaka Jana Kuna mwanasayansi wa Irani ambae alikuwa mtu muhimu kwenye mambo Yao ya nyuklia aliletewa Bomu Hadi kitandani kwake. Akalala Yoo.

Mipango ya Marekani kuzia Irani kumiliki silaha za Nyuklia ni mipango iliyoanza muda mrefu sana. Sasa ni wakati ambao Ushindi Upo karibu sana......🏃

CHAMA CHA WAISLAM DUNIANI ambacho Makao Makuu yake yapo Mji Mtakatifu wa Makka umechukizwa na kusikitishwa na vitendo vy...
01/03/2026

CHAMA CHA WAISLAM DUNIANI ambacho Makao Makuu yake yapo Mji Mtakatifu wa Makka umechukizwa na kusikitishwa na vitendo vya Iran kushambulia Mataifa ya Kiarabu ambapo wameita ni matendo ya kinyama kinyume na dini hivyo wameomba Jumuiya za Kimataifa ziungane dhidi ya Taifa la Kiislamu la Iran.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JamiiPost posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share