Mjapani

Mjapani COMEDIAN🤣🤣🤣❣️
Follow me please

Jiunge na group la WAFU upate Habari za Kuzim..Ukienda huko uwe na marafiki..🤣🤣🤣🤣🤣
03/06/2026

Jiunge na group la WAFU upate Habari za Kuzim..Ukienda huko uwe na marafiki..🤣🤣🤣🤣🤣

Je Wajua Faida za kitomvu chako Kufukiwa chini ukiwa mtoto ili kisiliwe na Mbwa....🤣🤣
03/06/2026

Je Wajua Faida za kitomvu chako Kufukiwa chini ukiwa mtoto ili kisiliwe na Mbwa....🤣🤣

ONA HIIWanawake ndio wanao ongoza kwa kugombania ukoko Duniani...,🤣🤣🤣
02/06/2026

ONA HII
Wanawake ndio wanao ongoza kwa kugombania ukoko Duniani...,🤣🤣🤣

Je umehangaika sana kuutafuta ukoko wa wali n**i mjapani ukoko company  inakufanyia delivery kabisa.....🖐️🖐️🖐️🖐️
02/06/2026

Je umehangaika sana kuutafuta ukoko wa wali n**i mjapani ukoko company inakufanyia delivery kabisa.....🖐️🖐️🖐️🖐️

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Majuto Majira, Edy Edisn, Hassan Rajabu, D Khaz Sipiliani
02/06/2026

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Majuto Majira, Edy Edisn, Hassan Rajabu, D Khaz Sipiliani

Who this Guy......???
02/06/2026

Who this Guy......???

Gabriel na mpira  wapi na wapiiiiiii🤣🤣🤣🤣          Wanao teseka mko wapiiiii
31/05/2026

Gabriel na mpira wapi na wapiiiiiii🤣🤣🤣🤣
Wanao teseka mko wapiiiii

K**a ni shabiki wa senegal huwezi vuka hapabila like
30/05/2026

K**a ni shabiki wa senegal huwezi vuka hapa
bila like

Wale messi na Ronaldo wasekondari wapo wapiiii??🤣🤣🤣Wezangu walikuwa wakicheza utasikia ukitoka unione,Usiniumizie huyo m...
29/05/2026

Wale messi na Ronaldo wasekondari wapo wapiiii??🤣🤣🤣
Wezangu walikuwa wakicheza utasikia ukitoka unione,Usiniumizie huyo mimi sasa nikiingia Nikipigwa buti utasikia Liue Hilo afu silipendi duuuh

kabla huja oa nenda Usukumani kwanza wanawake heshima na shepu zao...🖐️🖐️
24/05/2026

kabla huja oa nenda Usukumani kwanza wanawake heshima na shepu zao...🖐️🖐️

Address

Dar Es Salaam
111

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mjapani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share