ISMO Tv

ISMO Tv ISMO tv ni kituo Cha burudani, michezo na habari. Inakuletea story za mastaa wa muziki. Siasa na wengineo kote duniani.

Happy birthday ISMAILI.hongera Kwa kusherehekea siku Yako ya kuzaliwa.Huyu ni mtoto wa msanii wa muziki Tanzania Mkadimb...
15/05/2024

Happy birthday ISMAILI.hongera Kwa kusherehekea siku Yako ya kuzaliwa.

Huyu ni mtoto wa msanii wa muziki Tanzania Mkadimba the boy

Msanii wa muziki Tanzania Mkadimba the boy. Amefunguka mengi kuhusu maisha ya ALIKIBA, kikubwa alichoeleza ni kuvutiwa n...
13/05/2024

Msanii wa muziki Tanzania Mkadimba the boy. Amefunguka mengi kuhusu maisha ya ALIKIBA, kikubwa alichoeleza ni kuvutiwa na style ya maisha ya msanii huyo mkongwe kwenye muziki.
ALIKIBA namtazana kiutofauti sana na wasanii wengine wenye majina Yao hapa mjini. Maana hata ukiangalia wanavyooshi unaweza kusema k**a hawatokufa vile. Tena wanasahau hata kuona k**a Ipo siku wanaweza Waka shuka imziki wakashindwa jinsi ya kuishi na watu huko uraiyana. Siku zote watu wanaofanikiwa kwenye maisha ni wale wanaoangalia jambo la Sasa na badae. Kwangu mm ALIKIBA ni msanii ninaetamani niwe K**a yeye mana yupo. Social sana hata Hana makuu kivile. Amesema hayo mkadimba the boy alipo piga stor na ISMO tv
Ikumbukwe kwambwa mkadimba the boy ni msanii chipks kwenye gemu la muziki ila anamuelekeo mzur sana mana anatambua umuhimu wa kuishi ma watu vzur

Star wa muziki Tanzania Mkadimba The boy. Emeonyesha picha yake ya utoto akijionesha alivyo fanana na mwanae.  Akisema m...
13/05/2024

Star wa muziki Tanzania Mkadimba The boy. Emeonyesha picha yake ya utoto akijionesha alivyo fanana na mwanae. Akisema mm ni likuwa k**a mwangu kipindi hicho hapa Sina shinda ni kweli mama mtoto wangu kanizaa.

Address

Dar Es Salam

Telephone

+255689158692

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ISMO Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share