msaka tonge

msaka tonge Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from msaka tonge, Digital creator, Dodoma.

😭😭😭😭 mama mama mama inamaana hukutaka kusubiri basi hata umuone mwanao akienda kuanzisha maisha mapya😭😭 mama yangu amka ...
21/05/2026

😭😭😭😭 mama mama mama inamaana hukutaka kusubiri basi hata umuone mwanao akienda kuanzisha maisha mapya😭😭 mama yangu amka mama amka basi bado siku 4 kwa 3 mama mamaaaaaaaa aah mama

Nani handsome 😎😎
16/05/2026

Nani handsome 😎😎

R.I.P Baba Leyla , Mungu Akupunguzie Adhabu ya Kaburi 😭...Kwa Masikitiko Makubwa Tumepokea Taarifa za Msiba Mara baada y...
16/05/2026

R.I.P Baba Leyla , Mungu Akupunguzie Adhabu ya Kaburi 😭...

Kwa Masikitiko Makubwa Tumepokea Taarifa za Msiba Mara baada ya Aliyekuwa Baba Mzazi wa Muigizaji wa Tamthilia ya Dunia ( Leyla ) Kufariki Dunia...

Ni Majonzi Mazito Sana Kwa Familia Tofauti Hasa Familia ya Leyla , Familia ya Baba Asma ambapo Leyla alikuwa akifanya Kazi pamoja na Upande wa Mashabiki Hakika wanaweza Pitia Kipindi Kigumu Kidogo Kwa Kukosa Vipande vijavyo maana Muhusika wa muhimu Kaondokewa na Baba Mazazi..

Kwa Upande wa Muongozaji na Msimamizi Wa Dunia Series ( Baba ASMA ), Ameongea na Nyundo Tv Akisema..

"Ni kweli Usiku wa Kuamkia Leo Majira ya Saa Tisa hivi nilipokea Taarifa kwa sababu alikuwa anauguliwa na Baba Yake Lelya, kwakweli imekuwa bahati Mbaya, Mzee Amefariki Usiku wa Leo kwahivyo ni kweli..

Msiba Upo Hapa Hapa Dar Es Salaam nafikiri ni Maeneoa ya Posta kariakoo, Mazishi Yatafanyika Leo Usiku Saa 1, Sisi k**a familia Ya Baba ASMA Films Production Tumepokea Kwa Masikitiko Makubwa kwa kuondokewa na Baba yetu , kwahivyo tupo Katika Hali Hiyo na Yote ni Mipango ya Mwenyezi Mungu Amen. "Mwisho wa Kunukuu"

Kibox Media Tupo nawe Katika Kukujuza Taarifa Kwa Kina.

I FollowKibox Media Kwa Update Zaidi ✌️

Mgeni ataki soda anataka 700 yake πŸ˜…
15/05/2026

Mgeni ataki soda anataka 700 yake πŸ˜…

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when msaka tonge posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share