Equip youth

Equip youth Equip Youth Tz we are here to build, prepare and equip youth for a better tomorrow.

Kuwa positive na watu wanao kusema tofauti na unavyo jifahamu, kutakusaidia kujua upande usio jifahamu
10/02/2026

Kuwa positive na watu wanao kusema tofauti na unavyo jifahamu, kutakusaidia kujua upande usio jifahamu

Thank you for coming.The   of
22/12/2025

Thank you for coming.
The of

12/12/2025

of

Uwe hauna, au uwe nacho, usiache kufanya kwaajili ya ndoto zako
10/11/2025

Uwe hauna, au uwe nacho, usiache kufanya kwaajili ya ndoto zako

Ninachojua MUNGU hakua mjinga kuwaumba watu woote tunao waona wajinga na Tunao waona Wana Akili nyingi, Ninacho Amini ni...
06/11/2025

Ninachojua MUNGU hakua mjinga kuwaumba watu woote tunao waona wajinga na Tunao waona Wana Akili nyingi, Ninacho Amini ni kwamba hata wale wanao onekana wajinga, siku wakijitambua ni watu wenye Akili nyingi pia,.
K**a uliwabeza Kwa uwazi, au uliwadharau na wakajua umewadharau, Itakua Sio afya saana kwenye njia ya mafanikio Yako, kwasababu kwenye maisha tunahitaji watu Ili kufanikiwa

Hivyo nivema kuchagua kuwa na hekima na akili ya namna ya kuhusiana na watu

Sio kulaunmu kila Hali ngumu kwenye maisha yago, wakati mwingine nyakati ngumu zinapokuja kwenye maisha Yako, zitumie k*...
04/11/2025

Sio kulaunmu kila Hali ngumu kwenye maisha yago, wakati mwingine nyakati ngumu zinapokuja kwenye maisha Yako, zitumie k**a funzo na k**a fulsa ambayo baada ya kushinda, itafanyika k**a daraja Kwenda hatua mpya ya maisha Yako.

Equip youth
Yusuph Kapusi

27/10/2025
Usiache kujifunza
27/10/2025

Usiache kujifunza

23/10/2025

Malengo ya muda mrefu ni malengo ya muda mfupi pia.. Miaka inakimbia saana, Anza kufanya Sasa

Address

Mazengo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Equip youth posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Equip youth:

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share