
10/01/2025
MAONO.
Maono ni nini?
maono ni picha yako kubwa kwa ajili ya kesho yako.
SIFA ZA MAONO.
1. Maono ni lazima uyaandike chini.
2. Maono ni lazima uyasome.
3. Maono ni lazima uyazungumze.
4. Tengeneza mkakati juu ya hayo maono.
From my Spiritual Father Pst.Dr.Charles Prosperity