Jicho la ujasiriamali

  • Home
  • Jicho la ujasiriamali

Jicho la ujasiriamali Is channel. It's business, investors & business administration

20/07/2025
 .academy
15/07/2025

.academy

CRDB to Day price
04/07/2025

CRDB to Day price

Invest your money 🤑
20/06/2025

Invest your money 🤑

Investment
15/06/2025

Investment

Hii
05/04/2025

Hii

Sakata la kuahirishwa kwa mchezo wa Derby ya Kariakoo limeingia sura mpya baada ya Kamati ya Utendaji wa Yanga Sc katika...
09/03/2025

Sakata la kuahirishwa kwa mchezo wa Derby ya Kariakoo limeingia sura mpya baada ya Kamati ya Utendaji wa Yanga Sc katika kikao chake cha leo Machi 9, 2025 kutoa msimamo wake kuhusu uamuzi huo wa Bodi ya Ligi kuahirisha mechi hiyo.

Kamati ya Utendaji ya Yanga Sc imeitaka Bodi ya Ligi kuipa klabu hiyo haki yake ya ushindi k**a inavyoelezwa kwenye kanuni, pindi timu moja inapogomea mechi. Katika hatua nyingine Kamati ya Utendaji ya Yanga Sc imekubaliana kutoshiriki mchezo namba 184 kwa tarehe yoyote itakayopangwa.

Vilevile kutokana na mfululizo wa uvunjifu na kushindwa kusimamia kanuni za Ligi Kuu, Klabu ya Yanga imekosa imani na Kamati ya Uendeshaji ya Ligi Kuu, chini ya Mwenyekiti wake Steven Mnguto na Katibu wa Kamati hiyo Almas Kasongo.

Hivyo klabu hiyo imeliomba Shirikisho la Mpira wa miguu (TFF) kuivunja k**ati hiyo na kuteua viongozi wengine waadilifu na wenye nia njema kwa maslahi mapana ya mpira wetu.

08/03/2025

Uwekezaji una mikakati mingi sana. Leo tugusie kwa uchache kuhusu mkakati wa uwekezaji unaoitwa "Assets Allocation"

Kwa lugha nyepesi ni mkakati ambao unamwezesha mwekezaji kutenga rasimali zake ili kupunguza hatari na kujenga faida.

Mkakati huu unagawa uwekezaji katika maeneo k**a 3 muhimu.

1. Uwekezaji katika hisa ( equities) ambapo kiwango cha hatari ni cha wastani hadi kikubwa itategemeana na kampuni ulonunua hisa zake

2. Uwekezaji katika hatifungani na mifuko ya pamoja ya uwekezaji ( Bonds & mutual funds) ambapo kiwango cha hatari ni kidogo na faida itokanayo na uwekezaji ni kiasi kidogo pia. Ila ni eneo salama kwa uwekezaji

3. Kuwa na pesa taslimu ( Cash) au kuwa na mali ambayo inabadilishika haraka kuwa pesa pindi unahitaji. Kuwa na pesa taslimu kabisa mkononi au katika simu ni usalama mkubwa & msaada wakati wa uhitaji.

4. Uwekezaji katika Mali Zisizohamishika k**a ardhi na majengo. Huu ni uwekezaji mzuri ila haupo na ukwasi mkubwa ( kubadilisha kuwa pesa kwa haraka huchukua muda). Ila ni uwekezaji wa mali unaotunza utajiri wako

Mkakati huu ni muhimu sana maana unaweza kuwa unawekeza maeneo mengine vizuri kabisa ila ukakosa kuwa na ukwasi au pesa taslimu ambapo changamoto nyingine hazisubiri hadi uuze rasimali ila zinataka pesa taslimu.

Aina hii ya mkakati wa uwekezaji haitofautiani sana na uwekezaji mseto ( diversification strategy)

YANGA WATOA TAMKO SIMBA KUGOMEA MECHI.Yanga wanaseama wao mchezo upo pale pale saa 1:15 wapo Uwanjani wanaitaka mechi.
08/03/2025

YANGA WATOA TAMKO SIMBA KUGOMEA MECHI.

Yanga wanaseama wao mchezo upo pale pale saa 1:15 wapo Uwanjani wanaitaka mechi.

Address


Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jicho la ujasiriamali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jicho la ujasiriamali:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share