21/06/2025
Wiki hii tunapita kwenye Instagram akaunti ya Koplo Gabariel aka Nyumbu Mjanja anayo mengi ya kusimulia
▫️Jumamosi Tarehe 21 June 2025 - GALAXY FM 94.7 Kilimanjaro Saa 4-5 Asubuhi
▫️Jumamosi Tarehe 21 June 2025 - A FM 92.9 Dodoma Saa 7- 8 Mchana
▫️Jumapili Tarehe 22 June 2025 - SMILE FM 95.3Manyara Saa 4-5 Asubuhi
Ngoma 5 kutoka Trend ya Boomplay zinaongeza burudani
Host wako ni na Muziki