Jimbi Tv

Jimbi Tv Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Jimbi Tv, News & Media Website, Dodoma.

📺 JIMBI TV – Sauti Yenye Nguvu
Habari, Matukio, Burudani, Elimu & Vichekesho
📢 Unahitaji kutangaza nasi? //unahitaji interview
Njoo WhatsApp: +255 627 589 709
🔗 YouTube :Gusa kwenye detail hapo👇 jimbi tv

14/05/2026

Yanga kautaka kwa Dodoma Jiji🤣🤣🙌🙌🙌🙌

13/05/2026

Semaji Dodoma jiji fc kasema ,kesho timu Yao itapokelewa mnada mpya, njoo na jezi Yako tu ,muda saa sita mchana

13/05/2026

Kesho Dodoma jiji fc kupokelewa kibabe ,, mbiu imepigwa wananchi wote tukutane location hii

13/05/2026

Aliemfundisha Chama kiswahili atafute Pepsi big nakuja kulipa 🤣🤣🙌🙌

13/05/2026

Waziri junior: sio mara ya kwanza kumfunga Yanga

13/05/2026

Shabiki wa yanga baada ya kupoteza mechi dhidi ya Dodoma jiji fc

13/05/2026

Man of the match Ataja Mbinu ya kaunta attack ilivyomuua yanga

13/05/2026

Tambo za semaji la Dodoma jiji fc Moses Mpunga Aomba ulinzi baada ya kumchapa yanga goli (3-2)

13/05/2026

Ali kamwe aikataa pole baada ya kuchezea kichapo Cha goli tatu dhidi ya Dodoma jiji Fc

13/05/2026

Mwalimu wa Dodoma jiji fc Aman Josia Ataja Mbinu aliyotumia kumchapa Yanga GOLI 3

13/05/2026

Huyu mnyama ni tishio kwa sasa ,,je unalijua jina lake

Address

Dodoma

Telephone

+255627589709

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Jimbi Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Jimbi Tv:

Share