12/10/2024
"Unapoamua kufanya jambo fulani kwa ajili ya ustawi wa maisha yako kamwe usikatishwe tamaa na mtu au changamoto yoyote ile , unapoanguka inuka na usonge mbele kwa ujasiri kuelekea kutimiza ndoto yako huku ukimtanguliza Mungu .
Mithali 24:10 ukizimia siku ya taabu, nguvu zako ni chache.