
14/08/2024
Hii inanikumbusha zamani kwenye move za Rufufu na Uncle Resi msafiri kila move kali mpaka ukute picha za utangulizi zinaendelea kuna wadau wanauliza mnyama anacheza lini jibu ni moja mnyama anasubilia mchanga na dhahabu vichenguliwe kwanza kwa sasa michezo inayoenda kuchezwa hatua hii ni amateur tu mnyama anasubili pumba na mchele vitengane kwanza