16/10/2024
Jana bwana huko inbox niliitwa ngiri—for sure! Nilikuwa simjui ngiri vizuri, so I had to research about it.
Guys!
Nimegundua wakati wanasayansi walipokuwa wanawapa wanyama, sifa mwamba ngiri hakutendewa haki.
Huyu chalii ni legend!
I guess ngiri alikuwa zake kwenye mashimo yake, so wakaishia kuwapa heshima wasio sahihi.
Taji la mfalme wa mwitu likaenda kwa simba lunyasi na taji la kasi zaidi likaenda kwa duma—lakini mataji yote yanastahili kuwa ya ngiri.
Ngiri alistahili kuwa mfalme wa mwitu kwa sababu ana uwezo wa kipekee—ujasiri ambao unazidi ule wa lunyasi Simba, anayeitwa mfalme wa sasa.
Kwanza, ngiri ana uwezo wa kujihami kwa kasi na umahiri mkubwa, akipiga breki hana cha kuweka gia ya reverse ni hapo hapo gari imegeuka.
Trust me ni yule chali mwenye huwezi kumchukia.
Ni moja ya wenye speed sana kuliko hata duma, mwana akinyanyua mkia juu mwendo wa ngiri —hatari sana.
Taji la tatu kwa ngiri ni kwa kupaki gari kinyumenyume ikiwa speed 120m/s.
Kuna dereva humu anaweza kupak gari ikiwa 120 m/s?
Huyu dude anaweza kuingia kwenye shimo kwa kurudi nyuma katikati ya speed kali of about 120m/s.
Kasi yake akiwa amenyanyua mkia juu ni k**a magari ya Formula One na breki zake zinafanya kazi papo hapo.
Oya! Huyu, sio poa kabisa aise!
Naona it's the high time now kuwapa mabingwa sahihi heshima wanayostahili kwa haki.
K**a duma anaweza kumkimbiza ngiri na akashindwa kumk**ata basi tuna bingwa mpya.
Mwamba ni k**a injini ya V16 bi-turbo 6.5L AMG tena ikiwa mpya.
Kwanzia leo niiteni Chris Zizou Ngiri.