19/09/2025
Kuwawezesha Wajasiriamali wa Vyakula Kupitia Miradi ya Watoa Huduma Ndogo za Kifedha πΉπΏπͺπΊ
Chini ya usaidizi wa πͺπΊπ§πͺ kupitia mradi wa , na wanawawezesha wafanyabiashara wa vyakula kupitia vikundi vya watoa huduma ndogo za kifedha.
ππ₯¬π«ππ₯Zaidi ya wafanyabiashara wadogo 40 wa vyakula kutoka Mlango wa Chuma na Mgandini jijini Tanga wamepata ujuzi wa usimamizi wa fedha na ufahamu wa ukuaji wa biashara, na hivyo kuongeza fursa zaidi juu ya mifumo thabiti ya vyakula.
Soma zaidi kuhusu jinsi mpango huu unavyoleta matokeo ya kweli kupitia kiungo kwenye wasifu wetu ππ²
===================================
Empowering Food Entrepreneurs Through Community Microfinance Initiatives πΉπΏπͺπΊ
Under the support of the πͺπΊπ§πͺ through the project, and are empowering local food traders through community microfinance groups.
ππ₯¬π«ππ₯Over 40 small-scale food traders from Mlango wa Chuma and Mgandini in Tanga City gained financial management skills and business growth insights, further boosting opportunities for resilient food systems.
Read more on how this initiative is making a real impact via a link in our bio ππ²
,