19/02/2025
Wanaopata shida kwenye ndoa ya Azizi KI na Hamisa kwa asilimia kubwa ni wakristo, coz ndoa ZETU sisi wakristo ni za milele milele Aminaπ, niwahakikishie tu mwamba Azizi KI ni Ustadh na anaweza kutoa talaka k**a yakimshinda na akaoa mwingine tena. TULIENI MDOGO WETU ALE MAISHA NA MOBETO WAKE.