27/12/2025
Tunamshukuru MUNGU kwa siku ya leo kwa kutuwezesha kufika katika kituo cha .foundation kwa ajili ya kuwashika mkono ndugu, jamaa na marafiki zetu wenye uhitaji, tukishiriki muda, upendo na kujifunza pamoja. Tunawashukuru sana kwa mapokezi mazuri, pamoja na kila mmoja aliyechangia kufanikisha zoezi hili.
Ushirikiano na moyo wa kujali ndivyo hujenga jamii bora.