Dj Arnold 255

Dj Arnold 255 Radio presenter, Radio dj ,voice over artist ,author , events planer and creative agency

Salute ngapi kwa chid benz
26/06/2025

Salute ngapi kwa chid benz

Miaka 15 iliyopita nyota iliyong'ara na kuzima k**a mshumaa chidbenz mfalme wa ilala mwenye sauti ya mamlaka ngoma ya mw...
17/06/2025

Miaka 15 iliyopita nyota iliyong'ara na kuzima k**a mshumaa chidbenz mfalme wa ilala mwenye sauti ya mamlaka ngoma ya mwisho kuiingiza kwenye main stream ilikuwa ni misele aliyo mpa shavu marehemu banza stone since there hakuwa chidbenz yule tuliyo mjua sote
Kwenye moja ya mahojiano aliyo wahi kufanya alikiri kuwa yeye mwenyewe ndiye aliye haribu maisha yake ya muziki

Muziki na maisha
16/06/2025

Muziki na maisha

Kizazi bora zaidi kwenye muziki wa kizazi kipya Haya mabadiliko tunayo yaona leo yalianzia kwenye kizazi hiki kwanzia mi...
15/06/2025

Kizazi bora zaidi kwenye muziki wa kizazi kipya
Haya mabadiliko tunayo yaona leo yalianzia kwenye kizazi hiki kwanzia miaka ya 2004 na kuendelea tuliona mageuzi makubwa kwenye muziki kutokana na utandawazi na ile dhana ya kufanya muziki kuonekana uhuni ilianza kupotea na muziki wa kizazi kipya kuwa ni sekta mpya ya ajira wadau na wawekezaji wakaanza kuingia rasmi kwenye biashara ya muziki na vijana wengi kuanza kuingia kwenye tasnia

Mpeni maua yakeMbosso Khan
12/06/2025

Mpeni maua yake
Mbosso Khan

Profesa jay enzi hizo katika harakati za kuipambania  hip hop na mziki wa kizazi kipya zaidi ya miaka 25 kwenye game sio...
11/06/2025

Profesa jay enzi hizo katika harakati za kuipambania hip hop na mziki wa kizazi kipya zaidi ya miaka 25 kwenye game sio mchezo

Mpira wa Tanzania ulipofikia unahitaji maboresho makubwa hasa upande wa uendeshaji haiwezekani vilabu Viwe na nguvu kuli...
10/06/2025

Mpira wa Tanzania ulipofikia unahitaji maboresho makubwa hasa upande wa uendeshaji haiwezekani vilabu Viwe na nguvu kuliko mamlaka ya mpira tukiruhusu hali k**a hii iendelee tunatengeneza matabaka kati ya timu zenye ushawishi na timu zisizokuwa na ushawishi mkubwa wa kuamua.

Anaitwa Michael Benjamin owor alizaliwa entebbe Uganda mwaka 1975 ni moja kati ya watu wenye mchango mkubwa sana kwenye ...
09/06/2025

Anaitwa Michael Benjamin owor alizaliwa entebbe Uganda mwaka 1975 ni moja kati ya watu wenye mchango mkubwa sana kwenye tasnia ya burudani afrika mashariki wengi tunamfahamu k**a dj bush baby mkali aliyejenga misingi na mapinduzi makubwa kwenye tasnia ya utangazaji hapa bongo mwanzoni mwa miaka ya 2000 alikuja Tanzania na kupewa jukumu la kuitengeneza kiss fm ya jijini mwanza kwa wale wahenga wanaelewa ule mziki wa kiss fm kipindi kile ulikuwa ni moto wa kuotea mbali na nyuma ya unyama wote huo wa kiss fm alikuwa ni dj bush baby baada ya utumishi uliotukuka kiss fm kazi ilikuwa ni kuacha alama isiyofutika ndani ya east Africa radio na tv
Tanzania itakukumbuka kwa ngoma kali uliyotuachia TABASAM hakika umelala ukiwa umetuachia alama na kumbukumbu isiyo futika mioyoni mwetu lala bush baby tutaonana baadae.

Picha ilipigwa mwaka 1988 Nani umemtambua kwenye picha hii
17/05/2024

Picha ilipigwa mwaka 1988
Nani umemtambua kwenye picha hii

14/05/2024

Simba haina cha kujifunza kutoka kwa yanga

Maisha yanatufunza mambo mengi sana tuishi kwa kujifunza na kutokata tamaa
14/01/2024

Maisha yanatufunza mambo mengi sana tuishi kwa kujifunza na kutokata tamaa

Maisha ndivyo yalivyo kuna wakati utafika wewe mwenyewe utaanza kujishangaa mahali ulipotoka na mahali ulipo sasa
14/01/2024

Maisha ndivyo yalivyo kuna wakati utafika wewe mwenyewe utaanza kujishangaa mahali ulipotoka na mahali ulipo sasa

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dj Arnold 255 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dj Arnold 255:

Share

Category