Director Slinno

Director Slinno Film Director and Actor under Tajiri Pictures.

Mnaitaje kwa Lugha yenu
14/08/2026

Mnaitaje kwa Lugha yenu

Jux amechanganywa na rangi ya kipepeo hadi ameloose weight 😂
13/08/2026

Jux amechanganywa na rangi ya kipepeo hadi ameloose weight 😂

PSG ndio mabingwa wa kombe la UEFA Super Cup baada ya kuitwanga Aston Villa 2-1.
12/08/2026

PSG ndio mabingwa wa kombe la UEFA Super Cup baada ya kuitwanga Aston Villa 2-1.

Huyu Magwaya Ndani anafanya kazi poa sana sema tu watu wamejaa roho mbaya,wanaogopa kumpongeza direct kwamba anafanya ka...
10/08/2026

Huyu Magwaya Ndani anafanya kazi poa sana sema tu watu wamejaa roho mbaya,wanaogopa kumpongeza direct kwamba anafanya kazi nzuri wao wanamkejeli kumanisha wanakiona anachokifanya huyu ndugu.

Hongera sana Mtukufu Rais

Mbona hii picha ina trend namna hii
07/08/2026

Mbona hii picha ina trend namna hii

Ruby Kache Mali safi kutoka Bamba
07/08/2026

Ruby Kache Mali safi kutoka Bamba

Good morning Na si ameambiwa ukweli huyu jamani
07/08/2026

Good morning

Na si ameambiwa ukweli huyu jamani

Muonekano wa Noel ambaye anamvalisha Diamond.
06/08/2026

Muonekano wa Noel ambaye anamvalisha Diamond.

Mechi ilikua haishi bila watu kupigana 🤣🤣Halafu mwenye ball anamaliza mchezo kwa kuondoka na ball yake. It was so intere...
05/08/2026

Mechi ilikua haishi bila watu kupigana 🤣🤣
Halafu mwenye ball anamaliza mchezo kwa kuondoka na ball yake. It was so interesting by then

Tarehe Nane Mwezi wa Nane,Siku ya kihistoria, 8/8/2026 saa tisa kamili ngoma inaanza pale Kombani Stadium dhidi ya Viva ...
04/08/2026

Tarehe Nane Mwezi wa Nane,Siku ya kihistoria, 8/8/2026 saa tisa kamili ngoma inaanza pale Kombani Stadium dhidi ya Viva Manyota FC.

Mashabiki zetu wapendwa tujitokeze kwa wingi kuishabikia timu yetu.



Rashidabdallah_supercup

Address

254
Dodoma
67

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Director Slinno posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share