Clinthon G mlay

Clinthon G mlay Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Clinthon G mlay, Digital creator, Dodoma.

๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
26/02/2026

๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

17/02/2026

WAKRISTO
kesho ni jumatano ya majivu
Tufunge kwa resma kwanzia kesho j5 ameen๐Ÿ™๐Ÿ™

Mpiraa ndo umeisha k**a ivyo sasa โคโคโคโค๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช
17/02/2026

Mpiraa ndo umeisha k**a ivyo sasa โคโคโคโค๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช๐Ÿ’ช

17/02/2026

CRDB FD Cup
๐™Ž๐™ž๐™ข๐™—๐™– ๐™จ๐™˜ ๐™ซ๐™จ ๐™‚๐™ง๐™š๐™š๐™ฃ๐™ก๐™–๐™ฃ๐™™
๐™ก๐™ž๐™ซ๐™š ๐™ช๐™ฅ๐™™๐™–๐™ฉ๐™š๐™จ โœ๏ธ
๐Ÿ’ช๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐™ˆ๐™ ๐™ค ๐™ฉ๐™–๐™ฎ๐™–๐™ง๐™ž

Watu wa Mathe, msaidieni hesabu huyu mdau , Mimi Calculator yangu inazingua ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
08/02/2026

Watu wa Mathe, msaidieni hesabu huyu mdau , Mimi Calculator yangu inazingua ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

*Bro, acha kutuma message zaidi ya 10 zisizojibiwa kwa mwanamke ambae kuna mtu anamtumia message moja tu anajibu - huo n...
08/02/2026

*Bro, acha kutuma message zaidi ya 10 zisizojibiwa kwa mwanamke ambae kuna mtu anamtumia message moja tu anajibu - huo ni uhaini*

G Mlay

๐Ÿ“ฅ kutoka inbox ๐Ÿ“ฅ*MKASA MZITO, MCHUNGAJI AMEMPA MIMBA MKE WA MTU*Naumia sana mwenzenu, mwanamke wangu kazaa na mchungaji ...
08/02/2026

๐Ÿ“ฅ kutoka inbox ๐Ÿ“ฅ

*MKASA MZITO, MCHUNGAJI AMEMPA MIMBA MKE WA MTU*

Naumia sana mwenzenu, mwanamke wangu kazaa na mchungaji wa kanisani anaposali nahisi dunia imefika mwisho naombeni mnisaidie

2022 nilikutana na huyu binti nilienda kununua nguo za mama kariakoo, ndie alienipeleka maduka ya nguo, alikuwa winga kipindi hicho, Bro nimepambana kubadilisha maisha yake mpaka kufikia kumuoa na kumfungulia duka la nguo mtaan kwetu, Kuna kipindi alikuwa hakai dukan akawa anaomba nimtaftie dada wa kumsaidia, akkanza kwenda kanisani sana, nikajua basi huyu si ndo wife sasa Akawa hakai dukani na kuwa mtu wa kwenda kanisani tu, na huko ndipo alipata mimba ya huyo mchungaj, kaka najilaumid kwa kufanya maamuzi ya kumuoa nilidhan kwa upambanaji wake angekuwa msaada mkubwa kwangu Kumbe nilikuwa najidanganya, yani nimeishia kupata majeraha ya moyo na muda huu, juzi nilitaman kufanya jambo baya juu yake lakin nashukuru Mungu amenisadia Hivi Nikimtimua nitakuwa na dhambi? maana mtoto mwenyew huyo ana mwezi tu sasa ndo nmejuua kuwa ni mtoto wa huyo mchungaji baada ya kutengeneza simu yake iliyokuwa ni mbovu na kuona mesej kutoka kwenye ile simu.. Nimemgeea na mama nikamwambia ukwel,mama yangu ameshindwa kutoa ushauri wa kueleweka kwa sababu huyu mke wng ni rafik sana wa mama yangu Kaka nashindwa kufanya kazi kabisa tangu week iliyopita hasa nikikumbuka mateso ya kulea mimba na siku ya mke wng kujifungua Nilihesha hospital kaka sikuwa na amani ile siku, nilikuwa namuuwa za mke wang ma mtoto wangu, nilimuombea usiku kucha ajifungue salama
G mlay@ # #
story book # #
Naomba mnifollow

08/02/2026

๐™ช๐™—๐™–๐™ฎ๐™– ๐™ช๐™—๐™ฌ๐™š๐™ก๐™– ๐™ ๐™ช๐™ง๐™ช๐™™๐™ž ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฏ๐™–๐™ฃ๐™ž๐™– ๐™ ๐™ช๐™š๐™ฃ๐™™๐™š๐™ก๐™š๐™– ๐™ฃ๐™– ๐™ข๐™˜๐™๐™š๐™ฏ๐™ค ๐™ฌ๐™– ๐™ป๐™ด๐™ฐ๐™ถ๐š„๐™ด ๐šˆ๐™ฐ ๐šƒ๐™ฐ๐™ฝ๐š‰๐™ฐ๐™ฝ๐™ธ๐™ฐ

Mimi niko Dodoma๐™ฌ๐™š๐™ฌ๐™š ๐™Ÿ๐™š....??
08/02/2026

Mimi niko Dodoma
๐™ฌ๐™š๐™ฌ๐™š ๐™Ÿ๐™š....??

Nani alijua kabla ya Ankonzala kuwa muwazi kuwa king majuto ni babaake mzazi
08/02/2026

Nani alijua kabla ya Ankonzala kuwa muwazi kuwa king majuto ni babaake mzazi

Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, ameweka wazi kwamba hataki picha zake kuwekwa ofisini. Alisema watu wanapaswa kuw...
07/02/2026

Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, ameweka wazi kwamba hataki picha zake kuwekwa ofisini. Alisema watu wanapaswa kuweka picha za waume zao, wake zao au watoto wao ili wanapotaka kuwa wavivu, waangalie familia zao na kupata motisha.

Alisema yeye sio Mungu hataki kuabudiwa.
๐™Ž๐™–๐™จ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ฃ๐™– ๐™ฃ๐™ฎ๐™ž๐™š ๐™ฌ๐™– ๐™—๐™ค๐™ฃ๐™œ๐™ค ๐™ฃ๐™˜๐™๐™ž ๐™ฎ๐™– ๐™๐™–๐™ฃ๐™ฏ๐™–๐™ฃ๐™ž๐™– ๐™ข๐™ช๐™ฌ๐™–๐™˜๐™๐™š ๐™ ๐™ช๐™ฌ๐™š๐™ ๐™– ๐™ฅ๐™ž๐™˜๐™๐™– ๐™ฎ๐™– ๐™ข๐™ข๐™– ๐™จ๐™–๐™ข๐™ž๐™– ๐™จ๐™ช๐™ก๐™ช๐™๐™ช ๐™๐™–๐™จ๐™จ๐™–๐™ฃ
๐šข๐šŽ๐šข๐šŽ ๐šœ๐š’๐š˜ ๐š–๐šž๐š—๐š๐šž
๐š“๐šŽ ๐š ๐šŽ๐š ๐šŽ ๐š๐š˜๐šŠ ๐š–๐šŠ๐š˜๐š—๐š’ ๐šข๐šŠ๐š”๐š˜ ๐š‘๐šŠ๐š™๐š˜ ๐š”๐š ๐šŽ๐š—๐šข๐šŽ ๐šŒ๐š˜๐š–๐š–๐šŽ๐š—๐š๐šœ

Mimi nisingeweza kulala na mtu aliye nipaga UKIMWI Ningekuwa nawaogpa wanawake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
07/02/2026

Mimi nisingeweza kulala na mtu aliye nipaga UKIMWI Ningekuwa nawaogpa wanawake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Clinthon G mlay posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share