17/04/2026
🚨 UNAFANYA KAZI LAKINI PESA HAITOSHI?
Kila mwezi mshahara unaisha kabla hata mwezi haujaisha…
Biashara unafanya lakini faida ni ndogo…
Unajituma sana lakini bado maisha yako hayabadiliki 😔
Tatizo siyo juhudi zako… tatizo ni mfumo wa kipato chako (Cash Flow)!
SASA SULUHISHO LIPO HAPA 👇
Jumapili hii tarehe 19/04/2026, kutakuwa na
SEMINA KUBWA YA AFYA NA UCHUMI (CASH FLOW CLASS)
Utajifunza:
✔ Jinsi ya kuongeza kipato hata ukiwa na kazi
✔ Fursa ya tasnia ya afya inayolipa kwa kasi
✔ Namna ya kuanza na mtaji mdogo
✔ Njia ya kufikia kipato cha kuanzia laki 1 kwa siku
📍 MAHALI: Nyerere Square, Mtaa wa Uhihdini – Dodoma
⏰ MUDA: Saa 7:00 kamili mchana
💰 KIINGILIO: BURE kabisa
Usikubali kuendelea na maisha yale yale…
👉 Piga au WhatsApp sasa: +255 747 787 515
👉 Thibitisha nafasi yako mapema
Nafasi ni chache – wanaochukua hatua mapema ndio wanafaidika!