Morningstar POST

Morningstar POST Kwa habari za uchunguzi wa kina na makala za uchambuzi wa siasa, uchumi, michezo na burudani

Je wewe ni mwanafunzi, mwanachuo, mwalimu, au mfanyabishara ambaye umekuwa ukinunua na kuuza scientific calculator basi ...
14/06/2024

Je wewe ni mwanafunzi, mwanachuo, mwalimu, au mfanyabishara ambaye umekuwa ukinunua na kuuza scientific calculator basi ujumbe huu ni muhimu sana kwako soma mpaka mwisho huenda ukakusaidia kupata unachokitaka.

Ritha stationary mabingwa wa kuuza vifaa vya stationary wanakusadia kupata kwa bei ya rejareja na jumla Casio scientific calculator zinatumia betri na solar kuwezesha kutumia kwa muda mrefu bila kuzima na garantii ya kutumia miaka mitatu.

Kujua zaidi bofya link ifuatayo hapo chini kujiunga na group letu au tuma ujumbe kwenye namba ya whatsapp ifuatayo:

Fanya hivyo mara moja kabla group halijaa.
Ni mimi nayejali mafanikio yako
0719 790 561
https://chat.whatsapp.com/Czjdfnmda0zEAXEGOD2GZo

K**a wewe unahangaika kutafuta mshiko,  unashindwa kufanya biashara kwa kukosa mtaji wa biasharaBasi ujumbe huu ni muhim...
08/12/2023

K**a wewe unahangaika kutafuta mshiko, unashindwa kufanya biashara kwa kukosa mtaji wa biashara
Basi ujumbe huu ni muhimu sana kwako soma kwa makini tunakusaidia kupata biashara yenye mafanikio makubwa na kuweza kusafiri sehemu mbalimbali za dunia.
Kupata maelezo zaidi karibu kwenye group ketu la whatsapp kwa tumie ujumbe whatsapp namba +255 764 311 358
Tutakuunganisha na group letu kukushauri jinsi ya kufanya biashara enye mafanikio makubwa
Fanya hivyo mara moja kabla group halijaa

Je unatamani kujenga kuaminika na kuheshima kwa mpenzi na familiaUnatamani kuondokana na usumbufu wa kusafiri kwenye mag...
07/12/2023

Je unatamani kujenga kuaminika na kuheshima kwa mpenzi na familia
Unatamani kuondokana na usumbufu wa kusafiri kwenye magari ya umma na kukosa uhuru binafsi. Je unatamani kuonesha kuwa unawajibika, una uwezo wa kusafiri na mpenzi na familia kwa pamoja bila bughudha, k**a jibu ni ndio
Basi soma ujumbe huu kwa makini utakusaidia na huenda ukawa suluhisho lako
Chidy motors tunatoa ushauri wa bure kabisa wa jinsi ya kuweza kumiliki gari ya ndoto yako na kujenga kuheshimika kwa mpenzi na familia, ushauri wa jinsi ya kumiliki gari bila gharama ya usajili, gari yenye kutembea umbali mrefu kwa mafuta kidogo na kudumu muda mrefu na yenye hadhi inayokwenda na wakati huu
Kupata ushauri huo na maelezo zaidi tuma ujumbe kwenye namba ifuatayo ya whatsapp au bofya link hapo chini kupata maelezo zaidi

0786863007
https://kadilo.co.tz/product/black-hoodie/

K**a wewe ni kijana unayetafuta fursa ya kufanya, hauna ajira unahangaika kutafuta ajira, unashindwa kufanya biashara kw...
07/12/2023

K**a wewe ni kijana unayetafuta fursa ya kufanya, hauna ajira unahangaika kutafuta ajira, unashindwa kufanya biashara kwa kukosa mtaji wa biashara
Basi ujumbe huu ni muhimu sana kwako soma kwa makini tunakusaidia kupata biashara yenye peaa na kuweza kusafiri sehemu mbalimbali za dunia.
Kupata fursa hiyo karibu kwenye group ketu la whatsapp kwa ku-bofya link hapo chini au nitumie ujumbe whatsapp namba +255 764 311 358
Tutakuunganisha na group letu kukushauri na fursa nzuri ya biashara yenye peaa kusafiri sehemu mbalimbali za dunia
Fanya hivyo mara moja kabla group halijaa.
Bofya link hapa kujiunga.

https://chat.whatsapp.com/JHDvqeFDB0UDWxjLdB7jg5

Na Mwandishi WetuMwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kisutu, Bw Mustaquim Darugar, anadaiwa kwenda kinyume na sheria za nc...
12/06/2023

Na Mwandishi Wetu

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kisutu, Bw Mustaquim Darugar, anadaiwa kwenda kinyume na sheria za nchi, kuikosesha serikali mapato na kunyanyasa wafanyakazi wake.

Kwa mujibu wa uchunguzi wa Morningstar POST, Mwenyekiti huyo wa serikali ya mtaa, anakiuka sheria za ajira kwa kushindwa kutoa mikataba kwa wafanyakazi wake kwenye makampuni yake ya ulinzi.

Pia, anadaiwa kukosesha serikali mapato kwa kuuza makampuni ya ulinzi bila kulipa kodi ya mapato (capital gain).

Pia, anadaiwa kunyanyasa wafanyakazi wake kwa kuwafukuza kazi bila kuwalipa stahiki zao na kuuza kampuni pamoja na wafanyakazi bila kufuata taratibu.

Uchunguzi wa Morningstar POST unaonesha kuwa Bw. Darugar amekuwa akisajili makampuni ya ulinzi na kuyauza kwa watu wengine bila kufuata taratibu na kulipa kodi ya mapato (capital gain).

Kampuni zinazotajwa kusajiliwa na mwenyekiti huyo ni Simply Safe Security, Stay Alert Stay Safe Security , (ASASS), Power Sheld Security, Simply Safe Security na Thinkx GSM Security.

Kampuni ya ASASS imeuzwa kwa bwana Ali Jawadu ambaye mauziano hayo hakuna mapato ya kodi yaliyolipwa serikalini na kampuni hiyo inaendeshwa na Jawadu mtaa wa Kitonga ambako ofisi zake zilipo.

Kampuni hiyo inaendeshwa na Jawadu baada ya kununua kutoka kwa Bw Darugar.

Kampuni nyingine za ulinzi zilizouzwa na Darugar ni Simply Safe Security iliyouzwa kwa Bw Abdala, na mwingine anayefahamika kwa jina la Macho ya Paka na Almin Murtaza ambaye ni mtoto wa Bw Darugar.

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya ulinzi za Darugar waliohojiwa na Morningstar Post wameonesha wasiwasi na mashaka kuhusu ajira zao kwa kampuni kuuzwa wakati wakiwa na mikataba na Darugar.

Walisema wanashangazwa kuona mtu mmoja anasajili makampuni ya ulinzi mengi na kuyauza k**a wakala na sio kampuni ya ulinzi.

Akizungumza na Morningstar POST, Meneja Rasiimali Watu, wa kampuni ya Simply Safe Security, Bw. Muhind Said alikiri kuwa kampuni hiyo inahusiana na bwana Darugar ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ya Thinkx GSM Security.

Alisema kuwa suala la kuuza kampuni ni kweli lakini hakutaka kuzungumzia zaidi kwa kuwa suala hilo linahusu utawala wa juu zaidi.

Mmoja wa wakurugenzi wa kampuni ya Simply Security anayedaiwa kuwa ni mtoto wa Darugar, alipoulizwa hakutaka kuzungumza lolote na kutaka andikiwe barua rasmi ya kuulizwa kuhusu tuhuma hizo.

Wakizungumza kuhusu kampuni za Darugar ya Thinkx GSM Security, baadhi ya wafanyakazi ambao hawakupenda kutajwa majina yao walisema kuwa hakuna hata mfanyakazi mmoja mwenye mkataba wa ajira wala kusajiliwa kwenye mfuko wa Fidia za Wafanyakazi (WCF).

Wafanyakazi wa Darugar ambao hawana mikataba ya ajira ni pamoja na Baraka, Juma Ingo, Jeff Masabala ambao ni askari wa tahadhari (rapid rider).

Wengine ni Goshet Nyerere, Amon Rafael, Peter na Jakson ambao ni operasheni meneja. Pia, David na Shaff wataalam wa masuala ya IT, ambao hawana mikataba ya ajira.

Diwani wa Kata ya Kisutu, Khery Kessy alipoulizwa k**a ameshawahi kupata malalamiko yoyote kuhusu kampuni hizo za Darugar katika mtaa wake alisema kuwa ameshawahi kulalamikiwa na wafanyakazi wa kampuni hizo na kuwashauri kwenda mahak**a ya kazi au kurudi kwa mwajiri wao kupata stahiki zao.

Awali akijubu tuhuma hizo, Bw Darugar alimjia juu mwandishi wa Morningstar POST na kumtisha kuwa yeye ni mtu wa serikai yuko kwenye “system” na majina yake yako katika watu walioko ikulu anafahamika hivyo hatishwi na mwandishi.

Alisema kuhusu kampuni zake vibali vyote anavyo na ana wafanyakazi nane tu kwa kuwa yeye anahusika na kufunga alam za ulinzi tu na mikataba kwa wafanyakazi wake ipo michango ya NSSF na WCF yote anakata.

Morningstar POST ilimtafuta Msemaji wa Jeshi la Polisi kuzungumzia vibali vya kampuni ya ulinzi vilivyotolewa kwa Bw Darugar bila mafanikio, lakini tunaendelea kumtafuta kuzungumzia suala hilo na kuchunguza zaidi kuhusu kampuni hizo.

tembelea https://www.morningstarpost.co.tz/ kwa taarifa za uchunguzi

Na Mwandishi WetuMamlaka ya Mapato Nchini TRA, inachunguza kampuni tatu za ulinzi zinazodaiwa kuuzwa na Mwenyekiti wa Se...
10/06/2023

Na Mwandishi Wetu

Mamlaka ya Mapato Nchini TRA, inachunguza kampuni tatu za ulinzi zinazodaiwa kuuzwa na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Kisutu Bw Mustaquim Darugar kwa mamilioni ya shilingi bila kulipa kodi ya mapato.

Akizungumza na Morningstar Post, Afisa Mahusiano wa (TRA), Bw. Avitus Rushaka, alisema kuwa TRA haiwezi kuthibitisha taarifa za kampuni hizo kwa sasa uchunguzi utakapo kamilika

Aliongeza kuwa taarifa hizo zinatakiwa kupelekwa kwenye idara ya uchunguzi wa kodi na kufanyiwa kazi.

habari kamili bofya link hapo chini

https://www.morningstarpost.co.tz/2023/06/01/kampuni-za-mwenyekiti-wa-serikali-ya-mtaa-kisutu-kuchunguzwa-tra/

TMDA yak**ata madawa hatari yanayouzwa duka la Shamshuddin DarNa Mwandishi WetuMaafisa wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba ...
09/06/2023

TMDA yak**ata madawa hatari yanayouzwa duka la Shamshuddin Dar

Na Mwandishi Wetu

Maafisa wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba Nchini (TMDA), wamefanikiwa kuk**ata madawa mbalimbali yasiyosajiliwa na kuruhusiwa kuuzwa kwenye duka la dawa la Shamshudin lililoko jijini Dar es Salaam.

Morningstar POST ilishuhudia zoezi la ukaguzi na uk**ataji wa madawa hayo kwenye duka hilo maeneo ya katikati ya jiji mtaa wa Mshihiri na Sunil, siku chache zilizopita.

Maafisa wa TMDA walifika katika duka hilo baada ya kupata taarifa kuwa duka hilo linajihusisha na kuuza dawa hatari ambazo hazijasajiliwa hapa nchini, wakiwa na gari la serikali namba STL 6358 na kufanya upekuzi kwenye duka hilo.

Zoezi la upekuzi na uk**ataji wa madawa hayo ulianza majira ya saa tisa alasiri na kumalizika saa mbili usiku ambapo maafisa hawa waligundua madawa mbalimbali ya binadamu yasiosajiliwa na kuruhusiwa kuuzwa dukani hapo.

Maafisa hao walionekana kutoka ndani ya duka hilo majira ya saa mbili usiku na boksi kubwa la madawa yaliok**atwa ambayo hayaruhusiwi kuuzwa kwenye duka hilo.

Hata hivyo, walipoulizwa na mwandishi wa habari hizi walishindwa kutoa maelezo zaidi kwa madai kuwa wao sio wasemaji wa TMDA.

Chanzo cha habari kutoka ndani ya duka hilo ambaye alishuhudia zoezi hilo ndani ya duka hilo na kutopenda kutajwa jina lake, alisema TMDA, wamefanikiwa kuk**ata madawa aina mbalimbali (k**a yanavyoonekana kwenye picha ya stori hii).

“Wamekagua madawa na kukuta madawa mengi sana yasiotakiwa na mengine yasiosajiliwa….pia na ile dawa aina ya Himplasia nayo ilikutwa,” alisema.

Kwa taarifa zaidi bofya link hapo chini

https://www.morningstarpost.co.tz/2023/05/16/tmda-yak**ata-madawa-hatari-yanayouzwa-duka-la-shamdhudin-dar/

K**a wewe ni mfanyabiashara unataka kukuza mauzo ya biashara  kujenga biashara ya uhakikaKadilo online tumekuandalia mak...
29/04/2023

K**a wewe ni mfanyabiashara unataka kukuza mauzo ya biashara kujenga biashara ya uhakika

Kadilo online tumekuandalia makala bure kabisa ya jinsi ya kuuza bidhaa k**a mwendawazimu.

Kupata makala hiyo bure
Tuma ujumbe neno biashara kwenda whatsapp namba 0744499499

www.kadilo.co.tz

Mganga Mkuu wa jiji la Dar es Salaam (DMO), Elizabeth Nyema, amesema jiji la Dar es Salaam halina ugonjwa wa kipindupind...
28/04/2023

Mganga Mkuu wa jiji la Dar es Salaam (DMO), Elizabeth Nyema, amesema jiji la Dar es Salaam halina ugonjwa wa kipindupindu.

Bi. Nyema ametoa kauli hiyo kufuatia taarifa zilizoripotiwa kwenye
vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuwa kipundupindu kimelipuka maeneo ya Kivule Ilala Dar es Salaam

Bofya link ifuatayo kusoma kwa kina taarifa hii au tuma ujumbe whatsapp 0744499499 k**a utapenda kupata taarifa za kuelimisha kuburudisha kufichua kupitia www.morningstarpost.co.tz

https://www.morningstarpost.co.tz/2023/04/27/dar-hakuna-kipindupindu-licha-ya-kuwa-chafu/

Nyumba ya kifahari inajengwa maeneo ya Madale jijini Dar es Salaam, pembeni mwa jumba hilo kumejengwa kanisa la mabati. ...
27/04/2023

Nyumba ya kifahari inajengwa maeneo ya Madale jijini Dar es Salaam, pembeni mwa jumba hilo kumejengwa kanisa la mabati.

Wakazi wa mtaa huo wanasema jumba hilo limekuwa likijengwa na kubomolewa mara kadhaa kufanya marekebisho baada mmiliki wake kutopendezwa na ujenzi uliofanywa.

Wanasema tangu ujenzi umeanza haujawahi kusiimama na mmiliki wa jumba hilo hajulikani.

Taarifa ambazo hazijathibitishwa wakazi wa mtaa huo wanadai mmiliki wa jumba hilo ni kigogo.

Morningstar Post inaendelea kufuatilia zaidi kuhusu nyumba hiyo na kukuletea taarifa kamili badae.

K**a utapenda kupokea taarifa za kuelimisha, kuburudisha, kufichua kutoka www.morningstarpost.co.tz andika neno mimi kupitia whatsapp namba

0744499499

K**a wewe ni mama au mlezi wa familia unayetaka kujenga afya nzuri ya mtoto wako na ungependa kujifunza jinsi ya kujenga...
21/02/2023

K**a wewe ni mama au mlezi wa familia unayetaka kujenga afya nzuri ya mtoto wako na ungependa kujifunza jinsi ya kujenga afya ya mtoto, vyakula vya kuzingatia kwa mtoto kuligana na umri wake, jinsi ya kuandaa lishe bora kwa mtoto, vyakula bora vya kuchagua kwa afya ya mtoto, jinsi ya kuandaa na kupanga mlo kamili kwa mtoto

Basi soma kwa makini ujumbe ufuatao utaboresha afya ya mtoto wako kwa kiasi kikubwa

K**a unachangamoto ya mtoto kukataa kula, kushindwa kuongezeka uzito, kukosa usingizi, kuumwa mara kwa mara, kutojua jinsi ya kumsaidia mtoto anayekataa kula, jinsi ya kumsaidia mtoto anayekosa maziwa ya mama, jinsi ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kuongezeka uzito, Jinsi ya kumsaidia mtoto anayekosa choo na jinsi ya kupunguza tumbo la uzazi baada ya kujifungua na jinsi ya kujenga afya nzuri ya mtoto

Nimekuandalia mafunzo ya bure kwa njia ya makala, video na sauti ya jinsi ya kujenga afya ya mtoto wako na kupata mafunzo ya bure kupitia group letu la whatsapp kila siku tuma ujumbe wa neno mtoto kwenda namba ya whatsapp 0744 499 499 tutakuunganisha kwenye group bure kabisa na kufurahia mafunzo

Address

Dsm
Dsm
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Morningstar POST posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Morningstar POST:

Share