CAM STORE TZ

CAM STORE TZ Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from CAM STORE TZ, Social Media Agency, DSM, .

KABLA  HUJAANZA UFUGAJI WA  NGURUWE, FAHAMU UKWELI HUU. Watu wengi huingia kwenye ufugaji wa nguruwe wakidhani ni biasha...
26/11/2025

KABLA HUJAANZA UFUGAJI WA NGURUWE, FAHAMU UKWELI HUU.

Watu wengi huingia kwenye ufugaji wa nguruwe wakidhani ni biashara rahisi na ya kupata pesa haraka. Wengine hata hukopa ili waanze. Baada ya miezi miwili, malalamiko yanaanza.
Ukweli ni kwamba ufugaji wa nguruwe ni mzuri — lakini tu k**a unaujua vizuri. Hebu nikuambie k**a mtu ambaye amepitia huko.

1. Chakula ndicho changamoto yako kubwa.

Usidanganywe. Gharama ya chakula ndiyo itakula fedha zako nyingi. Bila mpango mzuri, unaweza kuingia kwenye madeni. Nguruwe wanaweza kukuingiza hasara haraka k**a huna nidhamu ya kulisha.

2. Huwezi kuwa msafiri wa mara kwa mara.

Nguruwe hula kila siku bila kukosa. Ukiacha kulisha siku moja tu, utaona madhara. K**a unafikiri unaweza kuwaacha bila uangalizi, utashangaa.

3. Joto linaweza kuharibu kila kitu.

Wakati wa joto kali, nguruwe hupunguza ulaji wa chakula na wengine hufariki kimya kimya. Jenga banda lenye hewa safi na uwape maji ya baridi na safi muda wote. Joto huua zaidi kuliko magonjwa.

4. Harufu si rafiki.

Ukishindwa kusimamia uchafu na maji taka, utachukia shamba lako na majirani watakuchukia zaidi. Fanya mipango ya mifereji na mfumo wa usafi kabla hujaweka nguruwe.

5. Magonjwa hayatoi taarifa.

Nguruwe wakipata ugonjwa, huenea kwa kasi. Safisha banda mara kwa mara na usiruhusu watu kuingia ovyo. Nunua nguruwe wenye afya — si wale wa bei ya kutisha ambao huleta matatizo.

6. Nguruwe hawakui kwa kasi sawa.

Hata ukiwalisha chakula kilekile, utakuta baadhi wanakua haraka na wengine polepole. Usipanic — fuatilia afya zao, deworm, na hakikisha wote wanapata chakula cha kutosha.

7. Bei ya soko hubadilika bila kutarajia.

Unaweza kuwalea kwa miezi, halafu unauza kwa hasara. Huu ni ukweli ambao wengi hawasemi. Unaweza tu kujiandaa na kuwa na mpango B.

8. Usiwaamini wafanyakazi kupita kiasi.

Wengine hupoteza chakula, kuuza nguruwe kwa siri, au kuficha taarifa muhimu. Hakikisha unafanya ukaguzi binafsi mara kwa mara. Macho yako ndiyo mfanyakazi wako bora zaidi.

22/11/2025

*PROGRAM YA KUWAKUZA WAFUGAJI NA WAKULIMA WALIOPO KWENYE MAGROUP YA TANZA FARM LTD*

Tutakusaidia kwenye masoko baada ya kununua bidhaa kwetu, au unaponunua vitabu hata online.

1. KUPATA BLUE TIK KWENYE INSTAGRAM , FACEBOOK, TIKTOK
2. KUBUST/ KUONGEZA FOLLOWERS KWENYE INST, FACEBOOK, TIKTOK
3. KUONGEZA WATCH HOURS NA SUBSCRIBE KWENYE YOUTUBE
4. KUSPONSA MATANGAZO KWENYE MITANDAO YOTE

PIA TUTAKUSAIDIA MASUALA YA
1. DESIGNING NA PRINTING

HII NI KWA WALE TU WANAONUNUA CHOCHOTE TANZA GROUP LTD

*MAWASILIANO*
0785 670 227
0650 930 227
0777 270227
0762 212 623

♥️
𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐔𝐏𝐀𝐓𝐄 𝐇𝐔𝐃𝐔𝐌𝐀 𝐁𝐎𝐑𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐔𝐒𝐀𝐋𝐀𝐌𝐀 𝐖𝐀 𝐀𝐊𝐀𝐔𝐍𝐓𝐈 𝐘AKO
_________________________
🪩Instagram Followers Kuanzia 1k | 5k | 10k | more

•Instagram Followers 1k = Tsh 20,000

•Instagram Followers 3k = Tsh 30,000

•Instagram Followers 5k = Tsh 50,000

•Instagram Followers 10k = Tsh 85,000
___________________________
🪩Tunaongeza YouTube Viewers 1k | 5k | 10k | more

•YouTube Viewers 1k = Tsh 20,000

•Youtube Viewers 3k = Tsh 30,000

•YouTube Viewers 5k = Tsh 50,000

•YouTube Viewers 10k= Tsh 80,000
___________________________
🪩Youtube Subscribers
•YouTube Subscribers 200 = Tsh 10,000
Youtube Subscribers 300 = Tsh 20,000

•YouTube Subscribers 500 = Tsh 30,000

•YouTube Subscribers 1k = Tsh 50,000
___________________________
🪩Tunaongeza Masaa (Watching Time) Kwenye YouTube Channel

•Watching Time 500Hrs = Tsh 45,000

•Watching Time 1000Hrs = Tsh 70,000

•Watching Time 2000Hrs = Tsh 140,000

•Watching Time 4000Hrs = Tsh 250,000
_____________________________________
🪩 *Facebook*, *TikTok*
•Facebook Likes 1k = Tsh 10,000

•Facebook Followers 1k = Tsh 20,000

•Facebook Views 1k = Tsh 10,000

🪩*TikTok*
•TikTok Followers 1k = Tsh 20,000

•Tiktok Likes 1k = Tsh 10,000

•Tiktok Views 1k = Tsh 10,000
__________________________

𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐔𝐏𝐀𝐓𝐄 𝐇𝐔𝐃𝐔𝐌𝐀 𝐁𝐎𝐑𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐔𝐒𝐀𝐋𝐀𝐌𝐀 𝐖𝐀 𝐀𝐊𝐀𝐔𝐍𝐓𝐈 𝐘𝐀𝐊𝐎🤝
Mawasiliano
0785 670 227

PIA TUNATENGE

*Feeder za nguruwe*Tunauza feeder kubwa za nguruwe (double side automatic pig feeding trough). Feeder inakuwa na matundu...
18/11/2025

*Feeder za nguruwe*
Tunauza feeder kubwa za nguruwe (double side automatic pig feeding trough). Feeder inakuwa na matundu 10 ya kulishia kwa wakati mmoja

✅Zimetengenezwa kwa plastic nene & chuma isiyopata kutu (stainless steel) hivyo;
🐖Si rahisi kuanguka na kumwaga chakula
🐖 Si rahisi kuvunjika
🐖 Zina dumu mno
🐖 Zinasafishika kirahisi

Wahi sasa ujinyakulie zako kwa bei za *jumla na reja reja*
📍Fika ofisini kwetu Ubungo au agiza popote mzigo unakufikia kwa uaminifu mkubwa.

🏡 *TANZA FARM*
📩📞 +255 785 670227
0762 212 623

NB: kila uonapo tangazo hili jua mzigo upo bado

18/11/2025

*KITABU CHA UFUGAJI BORA WA NGURUWE TAYARI,*
*SOFT COPY NI TSH 2000.*
*HARD COPY 1 =20000.*
*KITABU KIPO MAKTABA YA TAIFA KWA UWEZO WA ALLAH.*
*NJOO INBOX K**A UNAHITAJI.*

*SURA YA KWANZA*
UFUGAJI WA NGURUWE KATIKA MAZINGIRA YA AFRIKA MASHARIKI
1. AINA ZA NGURUWE
2. KWANINI UFUGE NGURUWE
3. VIWANGO VYA UWEKEZAJI KATIKA UFUGAJI WA NGURUWE

*SURA YA PILI*
1. VYAKULA VYA NGURUWE
2. UCHANGANYAJI WA VYAKULA VYA NGURUWE
3. VIRUTUBISHO NA MADINI YA KUONGEZA KWENYE CHAKULA CHA NGURUWE
4. *SURA YA TATU*
BANDA BORA LA NGURUWE NA VIFAA VYOTE VYA KUFUGIA NGURUWE
5. MAGONJWA KINGA NA TIBA ZA NGURUWE

*KITABU KIMEANDIKWA NA*
*TANZA FARM LTD*

*Pamoja na kitabu hiki kwa gharama hiyo hiyo nitakupa bonus ya vitabu vingine 10, vya waandishi mbalimbali*

*HARD COPY NI TSH 35,000/= KWA SET YA VITABU 3*

VIFAA VYOTE VYA UFUGAJI VINAPATIKANA

*MAWASILIANO*
0777 270227
0762 212 623
0785 670227 ( CALL & WATSUP)

JIUNGE NA GROUP LETU LA UFUGAJI WA NGURUWE KUJIPATIA ELIMU MBALIMBALI

https://chat.whatsapp.com/DmaNgMtpib19DkFBuRxwRX?mode=hqrt3

*Je Nguruwe wako wamedumaa?wamekonda?wamedhohofika?,vifo vya mara kwa mara?*wanashambuliwa na magonjwa  mara kwa mara?um...
16/11/2025

*Je Nguruwe wako wamedumaa?
wamekonda?
wamedhohofika?,
vifo vya mara kwa mara?*

wanashambuliwa na magonjwa mara kwa mara?
umewatibu weee! Bila mafanikio yoyote zaidi tu ya kutapa hasara na mpaka sasa umechoka na hutamani tena kuendelea kufuga nguruwe .

Pole sana na karibu Mfugo plus group ujipatie max pig super meat.[Huu ni ukombozi]
Max pig ni virutubisho asilia visivyokuwa na kemikali vilivyo andaliwa kisayansi ikiwa lengo kuu kuweza kusaidia nguruwe wako kuweza kupata uzito mkubwa na kunenepa kwa haraka.

Virutubisho hivi vinamchanganyiko wa kutosha k**a madini, Vitamin, pamoja na probiotics.

■ Faida ya kutumia Max pig super meat.

-Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa.

-Nguruwe kuingia joto kwa wakati na kupelekeea kuzaa watoto wengi wenye afya njema.

-Huboresha kinga ya mwili hivyo nguruwe hustaimili magonjwa (Sahau kutibu).

-Hupunguza gharama ya ulishaji kwani 1Kg ya max pig inaweza kuchanganya kwenye nusu tani ya chakula chako na nguruwe wako na akapata lishe yote (Mlo kamili).

-Huondoa harufu mbaya bandani (Hutopata kero za mairani).

-Huongeza hamu ya kula kutokana na utamu usio wa kawaida wa max pig pamoja na harufu nzuri.

■ Jinsi ya kuanza kuitumia max pig punde tu baada ya kuipata kutoka Mifugo plus.
-Chukuwa 1Kg ya max pig kisha changanya kwenye chakula chako chenye Kg500/ nusu tani ulichokwisha andaaa tayari.

■Pia unaweza tumia max pig kwenye maji.
-Chukuwa 1Kg ya max pig kisha changanya kwenye maji Lita 1000.

Wafugaji wote wa nguruwe walio wahi tumia max pig wamepata matokeo na wanazidi kufurahia ufugaji huu adhimu.

■Karibu TANZA FARM ujipatie KG1 ya max pig kwa bei ya 30,000/=Tsh tu.

NB:- USIPO PATA MATOKE NDANI YA SIKU 14 NJOO UCHUKUWE HELA YAKO

Wasiliana nasi kwa simu namba.
0777 270227
0650 930227

0785 670 227
0762 212 623

Tunafanya Delivery mikoani

15/11/2025

TUNAUZA MASHINE BORA ZA KUTOTOLESHEA VIFARANGA.

|FULL AUTOMATIC EGGS INCUBAROR|

BEI ZA INCUBATOR.
01. Mashine ya mayai 30 Bei: 150,000Tsh
02. Mashine ya mayai 45 Bei: 200,000Tsh
03. Mashine ya mayai 60 Bei: 300,000Tsh
04: Mashine ya mayai 65 Bei
350,000Tsh
05: Mashine ya mayai 70 Bei: 400,000Tsh
06. Mashine ya mayai 112 Bei: 450,000Tsh
07: Mashine ya mayai 120
Bei :650,000Tsh
08. Mashine ya mayai 176 Bei: 780,000Tsh
09. Mashine ya mayai 264 Bei: 995,000Tsh
10.Mashine ya mayai 352 Bei: 1,200,000Tsh
11.Mashine ya mayai 440 Bei: 1,300,000Tsh
12. Mashine ya mayai 528 Bei: 1,500,000Tsh
13. Mashine ya mayai 1,056 Bei: 2,000,000Tsh
14. Mashine ya mayai 1,584 Bei: 2,400,000Tsh
15. Mashine ya mayai 2,112 Bei 2,800,000Tsh
16. Mashine ya mayai 3,168 Bei: 3,800,000tshs
17. Mashine ya mayai 4,224 Bei: 4,300,000tshs
18. Mashine ya mayai 5,280 Bei: 4,900,000tshs

●Vifaa vya kutengenezea incubator:-
1. Tray za incubator.
2. Controller aina zote zipo
3. Limit switch
4. Baskect tray za hatching
5. Motor
6. Heater tube
7. Humidity tube
8. Humidifier

0777 270227
0650 930227

https://www.instagram.com/p/DQKI-2kCOcI/?igsh=cG9sODhxMXJjY3hy

MAX PIG SUPER MEAT VIRUTUBISHO ASILIA BORA  KWA AFYA YA NGURUWE WAKO.■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT.-Nguruwe huku...
14/11/2025

MAX PIG SUPER MEAT

VIRUTUBISHO ASILIA BORA KWA AFYA YA NGURUWE WAKO.

■ FAIDA YA KUTUMIA MAX PIG SUPER MEAT.

-Nguruwe hukuwa haraka pasipo kudumaa na kuongeza uzalishaji wa nyamaa Tamu isiyo na mafuta mengi yenye hadhi ya kimataifa.

-Nguruwe kuingia joto kwa wakati na kupelekeea kuzaa watoto wengi wenye afya njema.

-Huboresha kinga ya mwili hivyo nguruwe hustaimili magonjwa (Sahau kutibu).

-Hupunguza gharama ya ulishaji kwani 1Kg ya max pig inaweza kuchanganya kwenye nusu tani ya chakula chako na nguruwe wako na akapata lishe yote (Mlo kamili).

-Huondoa harufu mbaya bandani (Hutopata kero za mairani).

-Huongeza hamu ya kula kutokana na utamu usio wa kawaida wa max pig pamoja na harufu nzuri.

■ Jinsi ya kuanza kuitumia max pig punde tu baada ya kuipata kutoka Mifugo plus.

-Chukuwa 1Kg ya max pig kisha changanya kwenye chakula chako chenye Kg500/ nusu tani ulichokwisha andaaa tayari.

■Pia unaweza tumia max pig kwenye maji.

-Chukuwa 1Kg ya max pig kisha changanya kwenye maji Lita 1000.

Wafugaji wote wa nguruwe walio wahi tumia max pig wamepata matokeo na wanazidi kufurahia ufugaji huu adhimu.

■Karibu mifugo plus ujipatie KG1 ya max pig kwa bei ya 30,000/=Tsh tu.

NB:- USIPO PATA MATOKE NDANI YA SIKU 14 NJOO UCHUKUWE HELA YAKO

Mifugo plus group tupo Dar es salaam tegeta kwa ndevu darajani njia ya kwenda jeshini.
Wasiliana nasi kwa simu namba.

0762 212 623
0785 670 227
0755 334 862

■Tunafanya Delivery na tuna mawakala mikoani Tanzania.

■Tumia max pig super meat uingie sokoni kwa faida na kwa wakati.

Call
0762 212 623

13/11/2025

TUNAUZA PELLETS MACHINE(KG 200 kwa saa)
▪︎Hii Mashine maalumu ya kutengeneza chakula cha punje punje kwa ajili ya samaki/kuku/nguruwe/ sungura.

Faida za kumlisha kuku chakula cha punje punje.

✓kuku hupata lishe zote zilizochanganywa katika umbo Moja
✓Huzua upotevu wa chakula,chakula hakimwagiki hovyo
✓Kuku hushiba vizuri kwani anauwezo wa kuokota punje zote .
✓Hupunguza gharama za ulishaji
✓Kuku wako hukua haraka kwani hupata virutubisho vyote.

Bei ya ofa 1,800,000/=Tsh.

Ofa hii niyamuda mfupi.

■MAWASILIANO
0777 270 227
0650 930227
0785 670 227
0762 212 623

Tunafanya free delivery popote ulipo

GAS HEATER KIFAA MAALUMU CHA KUWAPATIA KUKU NA NGURUWE JOTO BANDANI Kwa ofa ya 250,000/=Tsh ■Kifaa hiki kinaweza kuzalis...
13/11/2025

GAS HEATER KIFAA MAALUMU CHA KUWAPATIA KUKU NA NGURUWE JOTO BANDANI

Kwa ofa ya 250,000/=Tsh

■Kifaa hiki kinaweza kuzalisha joto eneo la ukubwa wa square mita 8.

■ kinauwezo wa kulea vifaranga vya kuku 1000 kwa mara moja.

■Unaunganisha na mtungi wako wa gesi na pipe kisha unaning'iniza juu heater yako.

■Ina mfumo wa kuongeza joto na kupunguza (regulator).

0777 270227
0650 930227
0762 212 623
0785 670 227

Address

DSM

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CAM STORE TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share