29/07/2025
Katika kijiji cha Mtunduru wilayani Ikungi, Mkoa wa Singida – Mkuu wa Mkoa Mhe. Halima Dendego ameongoza zoezi la ugawaji wa hati miliki za kimila kwa wananchi waliojitokeza kwa wingi, akisisitiza kauli mbiu ya nguvu:
“Ardhi ni Maisha – Tuiheshimu k**a Urithi wa Vizazi Vyetu.”
📝 Zaidi ya hati 608 zilitolewa, zikiwa ni sehemu ya mpango wa serikali wa kuimarisha umiliki halali wa ardhi vijijini. Zoezi hili limeongeza matumaini kwa wananchi wa Msungua – likiwa ni kinga dhidi ya migogoro ya ardhi, nyenzo ya mikopo, na msingi wa maendeleo ya familia na jamii.
📍 Singida |
💼 Mada kuu: Elimu ya kifedha, bima, afya na biashara
👉 Usisahau ku-like, ku-comment, ku-subscribe, na kusambaza ujumbe huu muhimu.
.assaad