Handeni Digital Tv

Handeni Digital Tv Handeni Digital Tv Ni Television Ya Mtandaoni Iliyojikita na Kuhakikisha Unapata Habari Moto Moto

03/11/2022

Ziara ya Naibu Katibu Mkuu Tamisemi Wilaya Handeni Alipotembelea Shule ya Togeza Iliopo Kijiji Cha Kwamagome Handeni Tanga.



dc

Kwenye Video Hii Inaenda Kukufundisha Jambo Linaloitwa Hamasa Yaani (Motivation)Kwa kawaida Binadamu Anapotaka kuanza Ja...
27/10/2022

Kwenye Video Hii Inaenda Kukufundisha Jambo Linaloitwa Hamasa Yaani (Motivation)
Kwa kawaida Binadamu Anapotaka kuanza Jambo Fulani Ambalo Anaamini Litamfikisha kwenye Mafaniko Huwa Anakuwa Hamasa Kubwa Yaani (Motivation) Statement Lakini Jambo la Kushangaza Binadamu Huyu Kuan Wakati Atakata Tamaa na Anakata Tamaa Kwa Sababu Tu Ile Hamasa Imepotea Sasa Basi ni Mambo Gani Yatupayo Hamasa K**a Wasemavyo Walioweza Kufanikiwa.



Kwenye Video Hii Inaenda Kukufundisha Jambo Linaloitwa Hamasa Yaani (Motivation)Kwa kawaida Binadamu Anapotaka kuanza Jambo Fulani Ambalo Anaamini Litamfikis...

Ianze Asubuhi yako na vichwa vya Habari za Magazeti ya leo Tarehe 26 October 2022.
26/10/2022

Ianze Asubuhi yako na vichwa vya Habari za Magazeti ya leo Tarehe 26 October 2022.

Repost .5Mamlaka zinazohusika na kuthibiti bidhaa zilizokwisha muda wa matumizi wilayani Handeni mkoani Tanga, zimeagizw...
26/10/2022

Repost .5

Mamlaka zinazohusika na kuthibiti bidhaa zilizokwisha muda wa matumizi wilayani Handeni mkoani Tanga, zimeagizwa kuwajibika kukagua maduka na kuondoa bidhaa hizo zitakazo bainika kuwepo kwa wafanyabiashara.

Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Handeni Siriel Mchembe kwenye zoezi la kukagua bidhaa kwenye maduka na kukamata Juisi ambazo zimekwisha muda wake .

Mfanyabiashara Ali Hemedi mwenye bidhaa zilizokutwa dukani kwake amesema ni kweli zilikwisha muda ila alishindwa kuzitoa dukani kutokana na matengenezo ya barabara kwenye eneo lao.






Address

Mahakamani Road
Handeni
21801

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Handeni Digital Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share