Maarifa Ya Kidijitali

Maarifa Ya Kidijitali Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Maarifa Ya Kidijitali, Digital creator, Postal Box 19303 Shinyanga Office, Kahama.

Ni ukurasa kwa ajili ya elimu ya kidijitali kwa maisha ya sasa: simu, kompyuta, AI, usalama wa mtandaoni, na maarifa ya teknolojia kwa matumizi halisi.
πŸ“˜ Miongozo | πŸŽ“ Mafunzo | πŸ’Ό Ushauri wa kidijitali
πŸ“² Huduma za elimu ya teknolojia kwa watu binafsi n

06/05/2026

Ukiona picha mtandaoni "iliyopigwa" mwaka 1837, basi huo ni uongo. Kwa nini?

πŸ“² FAHAMU VIAMBISHI VYA NAMBA MUITO VYA AIRTEL TZ. Ⓜ️obile
02/05/2026

πŸ“² FAHAMU VIAMBISHI VYA NAMBA MUITO VYA AIRTEL TZ. Ⓜ️obile

πŸŸ‘β™¦οΈ SIMU YA LAKI 7 IWE NA SIFA ZILIZOAINISHWA KWENYE MAONI
03/04/2026

πŸŸ‘β™¦οΈ SIMU YA LAKI 7 IWE NA SIFA ZILIZOAINISHWA KWENYE MAONI

🟑              πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
31/03/2026

🟑 πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ

   🟒🧑🟑🟒
29/03/2026


🟒🧑🟑🟒

28/03/2026
🟑 SIMU NAYO INA DISKI KUU?       (Diski mwendo kuu | HDD)Jibu la mtaalamu kwenye comments                            πŸ‘‡πŸ‘‡
23/03/2026

🟑 SIMU NAYO INA DISKI KUU?
(Diski mwendo kuu | HDD)
Jibu la mtaalamu kwenye comments
πŸ‘‡πŸ‘‡

Hapa ndipo taarifa zinapogeuka kuwa uelewa.
21/03/2026

Hapa ndipo taarifa zinapogeuka kuwa uelewa.

πŸ“Œ Kompyuta Si Uchawi β€” Ni Mfumo Unaofanya Kazi kwa Kanuni Rahisi!Watu wengi huona kompyuta k**a kitu kigumu sana… lakini...
20/03/2026

πŸ“Œ Kompyuta Si Uchawi β€” Ni Mfumo Unaofanya Kazi kwa Kanuni Rahisi!

Watu wengi huona kompyuta k**a kitu kigumu sana… lakini ukweli ni huu:
πŸ‘‰ Kompyuta ni mashine inayopokea taarifa (input), inazichakata (processing), kisha kutoa majibu (output).

Mfano rahisi:
Unapoandika kwenye keyboard β†’ hiyo ni input
Kompyuta inapofanya kazi ndani β†’ hiyo ni processing
Unapoona majibu kwenye screen β†’ hiyo ni output
πŸ’‘ Kwa hiyo, kila unachofanya kwenye simu au kompyuta kinafuata hatua hizi tatu!
Wengi wetu tulianza bila kujua haya mambo β€” taratibu ndiyo tunajifunza 😊

πŸ‘‰ Je, wewe ulilijua hili kabla, au hii ni mara ya kwanza kusikia?

πŸ” Follow Maarifa Ya Kidijitali kwa maelezo rahisi ya teknolojia kila siku
πŸ“€ Share ili wengine wajifunze pia.

Address

Postal Box 19303 Shinyanga Office
Kahama
11111

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maarifa Ya Kidijitali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share