
28/12/2024
Njoo tuufunge mwaka 2024 kibabe zaidi kwa kusikiliza ngoma za kitambo za bongo flava. Leo nakugusia zote zilizohit enzo izo usikae mbali na Saturday Request ya Kahama fm 90.8
Your Boy Dj Lazza5ive in the Building