TIBA ASILI NA NYOTA

  • Home
  • TIBA ASILI NA NYOTA

TIBA ASILI NA NYOTA page hii..ina husika na mambo ya tiba asili na maswual ya nyota..

DAWA YA KUPATA KAZI KWA HARAKA K**A ULIKUWA HUPATI KAZI NA K**A ULIKUWA UNAPATA KAZI CHACHE BASI UTAPATA KAZI NYINGI SAN...
27/12/2025

DAWA YA KUPATA KAZI KWA HARAKA K**A ULIKUWA HUPATI KAZI NA K**A ULIKUWA UNAPATA KAZI CHACHE BASI UTAPATA KAZI NYINGI SANA.

tafuta magadi na mdalasini saga kwa pamoja iwe unga Kisha tafuta maziwa mabichi nusu Lita hivyo vitu changanya kwenye Lita tatu za maji pia utaweka na matone matano ya misiki nyeupe na matone matano ya mafuta ya Binti sudani Kisha nenda kaoge kwa manuizi Yako zoezi hili lifanyike kutwa mara mbili ndani ya siku 7 hakikisha Kila unapotaka kuoga unatengeneza dawa mpya.

DAWA YA MVUTO MKALI WA MWILI PAMOJA NA MVUTO WA BIASHARA.Tafuta mdalasini saga pamoja na udi wa sai flora pamoja na suka...
23/12/2025

DAWA YA MVUTO MKALI WA MWILI PAMOJA NA MVUTO WA BIASHARA.

Tafuta mdalasini saga pamoja na udi wa sai flora pamoja na sukari uhakikishe mchanganyiko wako huo unakuwa unga laini halafu utakuwa unaoga na kujifukiza kwa manuizi ya kuwa na mvuto mkali kwenye mwili wako kutwa mara 2 ndani ya siku 7 halafu dawa nyingine ambayo utakuwa umebakiza utachanganya kwenye mafuta Yako ya kujipaka uwe unajipaka mwili mzima.

Kuhusu biashara utakuwa unachoma na kupigia deki au kumwagiamwagia kwenye biashara Yako kwa manuizi ya kuita wateja waje wengi hakika utafulahi.

DAWA YA KUFUNGUWA NDOTO K**A HUOTI NDOTO UTAOTA TU PIA K**A HUWA UNAOTA NDOTO UNASAHAU UTAKUWA UNAKUMBUKA KILA NDOTO UNA...
23/12/2025

DAWA YA KUFUNGUWA NDOTO K**A HUOTI NDOTO UTAOTA TU PIA K**A HUWA UNAOTA NDOTO UNASAHAU UTAKUWA UNAKUMBUKA KILA NDOTO UNAZOOTA TUMIA DAWA HII UTANISHUKURU.

Tafuta mafuta ya kitunguu swaumu halafu uwe unajipaka kichwani na usoni na masikioni asubuhi ukiamka na usiku ukitaka kulala kwa manuizi ya kuota ndoto na kuzikumbuka halafu pia utachukuwa punje Moja ya kitunguu swaumu utaweka kwenye mto wako wa kulalia hakika utaona maajabu yake

NDAGU YA KAZI AU NDAGU YA BIASHARA.Hii ni aina ya ndagu ambayo unapewa kulingana na kazi Yako na biashara Yako unayoifan...
23/12/2025

NDAGU YA KAZI AU NDAGU YA BIASHARA.

Hii ni aina ya ndagu ambayo unapewa kulingana na kazi Yako na biashara Yako unayoifanya k**a wewe ni fundi nyumba, fundi umeme,fundi wa kutengeneza magari na pikipiki,fundi Bomba,fundi wa kupaka nyumba rangi nk ndagu hii itakusaidia kupata kazi nyingi Sana pia itakusaidia kazi ya kufanya kwa laki mbili wewe utapewa hata laki tano na kazi ya kufanya kwa milioni Moja wewe utapewa hata milioni mbili.

Kuhusu kazi ya machimboni ukipewa ndagu hii unaweza kupata madini kwa mda mfupi Sana Tena madini yenye thamani ya pesa nyingi Sana pia ukipewa ndagu hii kwenye machimbo unaweza ukawa unaokota madini bila kuchimba kwa wale watu wa machimboni nazani walishaona au kusikia huko machimboni mtu kaokota dhahabu au alumasi au madini ya aina yoyote tu ni kwasababu ya hii ndagu Wala hutahangaika kuchimba wewe ni kuokota tu.

NDAGU hii pia kwenye biashara Yako yoyote ile unayoifanya itakuletea wateja wengi Sana pia utakuwa unakuta Kuna pesa za ziada zimeongezeka ni kutokana na ndagu hii inavyofanya kazi ukipewa ndagu hii Kila mwezi utakuwa unachoma udi na ubani tu mwenye uhitaji wa ndagu hii piga simu 0688205311

23/12/2025

Leo naangalia upendo wa wanagroup kwa kutoa chochote kwa ajili ya kunipa ili kunipa.shauku ya kuwa nandika makala mpya kila siku

chochote ulicha bahatika
airtelmoney
0688205311
aish juma

UTABIRI WA LEO TAREHE 23/6/2025

Herufi A M Y E Q I U

Utapata furaha kubwa leo na faraja usiyoitarajia.

Rizki yako utafunguka zaidi

Mahusiano yako yatakuwa vyema lakini usiyape nafasi kubwa kwa sasa.

Safari zako ni nzuri.

Herufi B N Z F R J V

Utapata furaha zaidi na mafanikio kwa kila jambo lako.

Kazi zako zitaenda vizuri sana na utapata bahati kubwa.

Safari zako ni nzuri sana.

Herufi C O G S K W

Utapata bahati mbaya leo na unashauriwa uwe mkimya zaidi kuepuka maneno na maudhi kuwa makubwa zaidi kwako hali hii ni ya muda tu.

Safari zako ni nzuri licha ya kuwa itakuwa nzito nzito.

Herufi D P H T L X

Utapata maudhi leo na vitu vingi unavyovitaka leo hautavipata ila kwa tabu na maudhi makubwa baada ya kukufika.

Maswala yako ya kazi leo utaudhiwa na mtu atakayekutembelea leo usimuamini sana kaja kwa udadisi na hana shida halisi aliyokuelezea.

Safari zako sio nzuri utashuhudia matukio mabaya na uzito mkubwa safarini.

20/12/2025

*KINGA RAHISI KWA MTOTO WAKO*
👉 Leo nakuelekeza kinga rahisi sana kutengeneza lakini ni imara sana kwa maadui wa mwanao iwe majini au wachawi.
👉 Tafuta pangaa ya mbaazi na mkilika tu k**a utakosa pangaa tumia mizizi yake, pia utachukua majani yake hiyo miti.
👉 Majani twanga kwenye kinu (sio blender tafadhali) weka maji kisha zima makaa 7 kwa nia za kuzima kila ubaya aliofanyiwa, anaofanyiwa, na atakaofanyiwa popote pale.
👉 Baada ya hapo utamuogesha dawa hiyo mwanao akiwa mlangoni anatazama nje nawe uvae kaniki juu na chini.
👉 Baada ya kumuogesha utakata kipande kidogo sana cha mkilika na mbaazi pangaa au mzizi, kisha chukua kipande kidogo sana cha mkaa ule uliozimia dawa.
👉 Vipande hivyo vyote vifunge katika nailoni ngumu ili visiloane kisha funga katika kitambaa cheusi kwa manuizi ya kuufunga kila ubaya dhidi ya mwanao.
👉 Hakikisha umekaza sana fundo na iwe ndogo tu k**a punje ya choroko.
👉 Baada ya hapo mvalishe mwanao iwe mkononi au kiunoni au shingoni, lakini vizuri avae isionekane na walimwengu.
👉 Kwa wale wasomaji hii unaisomea Yasin moja ila ukifika Mubiyn unatia nia na kupulizia fundo kisha unaanza upya Yaasin mpaka ya Mubiyn ya pili unafanya k**a awali kisha unaanza upya Yaasin mpaka Mubiyn ya tatu unaanza upya, nenda na utaratibu huo mpaka umalize surat Yaasin ndipo umvalishe.
👉 Ndugu yangu huyo mtoto watamwita mchawi au wewe utaitwa mchawi kwa sababu hii;
👉 Inazuia ubaya wowote usimfike mtoto biidhinillah na pia inaua ubaya wowote ambao aliwahi kufanyiwa
👉 K**a mtoto alikuwa haishi kuumwa yaani kila siku anaumwa hapo ndio mwisho
👉 K**a mtoto alikuwa anastuka na kulia sana usiku hapo ndio mwisho
👉 K**a mtoto alikuwa anaogopa sana watu ile hofu isiyo kawaida basi hapo ndo mwisho
👉 K**a mtoto afya imezorota kichawi yaani haumwi lakini hanenepi hapo ndo mwisho
👉 K**a mtoto alikuwa anachukuliwa kichawi hapo ndo mwisho maana kuna watu mnalala na watoto wenu vizuri usiku ukiamka unamkuta mtoto uvunguni na mtoto hatembei wala hatambai

20/12/2025
19/12/2025

Big shout out to my newest top fans! Saed Sayyed, Sema Wewe Cheva, Maman Abdoul, Shaidu Msami

DAWA YA KUMULINDA MWNAMKE MJAMZITO DHIDI YA WACHAWI,VIJICHO NA WATU WABAYA:tafuta karafuu mauwa,majani ya kitunguu swaum...
19/12/2025

DAWA YA KUMULINDA MWNAMKE MJAMZITO DHIDI YA WACHAWI,VIJICHO NA WATU WABAYA:

tafuta karafuu mauwa,majani ya kitunguu swaumu,majani ya ndulele,kitambaa cheusi,mafuta ya mnyonyo,mavi ya tembo.saga dawa zako zote zinazotakiwa kusagwa ukimaliza kuvisaga utachanganya na mafuta ya mnyonyo kisha utachukua kipepsi au kinailoni cheupe utaweka huo mchanganyiko wa dawa zako funga vizuri halafu weka tena kwenye kitambaa chako cheusi na ushonee k**a hirizi utaifunga kwenye mkono wako wa kushoto ukimaliza hivyo chemsha mizizi ya maboga kisha kunywa nusu kikombe cha chai mara moja tu inamaana unakunywa siku hiyo moja tu mara moja.

HABAR ZA MCHANALeo naangalia upendo wa wanagroup kwa kutoa chochote kwa ajili ya kunipa  ili kunipa.shauku ya kuwa nandi...
19/12/2025

HABAR ZA MCHANA
Leo naangalia upendo wa wanagroup kwa kutoa chochote kwa ajili ya kunipa ili kunipa.shauku ya kuwa nandika makala mpya kila siku

chochote ulicha bahatika
airtelmoney
0688205311
aish juma

FAIDA ZA CHUMVI YA MAWE.

A..
Ukisaga chumvi ya mawe pamoja na pilipili zile ndefu zinazoonekana hapo pichani halafu ukafunga kwenye kitambaa cheupe halafu ukaweka kwenye mfuko wako au kwenye begi lako au ukaweka kwenye kiatu chako basi utapata faida zifuatazo.

1.ukienda kuomba kazi utapata kiurahisi zaidi.

2.ukienda kuomba msaada popote utapata kiurahisi zaidi.

3.ukienda kumfata mtu unaemdai basi atakupatia mzigo wako k**a anao Kwa mda huo.

4.utafurahiwa na watu waliokuwaga wamekuchukia.

5.utakumbukwa na kuthaminiwa na watu waliokuwa wamekusahau.

B..

CHUMVI YA MAWE HUONDOA MIKOSI NA NUKSI.

utachukuwa chumvi ya mawe utaloweka kwenye maji pamoja na dawa inaitwa mfunguo baada ya masaa mawili utaenda kuoga zoezi hili lifanyike kutwa mara 2 Kwa mda wa siku 14.

Address

Kigoma

0688205311

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TIBA ASILI NA NYOTA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share