Shenny Sports News

Shenny Sports News Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Shenny Sports News, Digital creator, Kigoma.

🆕 Habari Za Michezo Tanzania, Afrika Na Duniani
KARIBU KWA;-
[ TETESI | USAJILI | TAKWIMU | HABARI ]


Follow, Like, Share, Comment

🇹🇿 BONGO SPORTS NEWS | WORLD WIDE NEWS

The meeting of simba sports club management today
18/12/2025

The meeting of simba sports club management today

SEBO KUITUMIKIA SINGIDA BS.      🆕TETESI.......   Loading....Beki wa zamani wa klabu ya Azam fc,Abdalah Heri SEBO, atajw...
16/12/2025

SEBO KUITUMIKIA SINGIDA BS.

🆕TETESI....... Loading....

Beki wa zamani wa klabu ya Azam fc,Abdalah Heri SEBO, atajwa kujiunga na walima Alizeti SINGID BS kwa mkataba wa miaka miwili hadi mwishoni mwa msimu wa 2026/27.

Hii ni mara ya pili kwa Sowah kutajwa kuwa kwenye hatihati ya kuikosa mechi ya Yanga ya de derby itakayopigwa march 1, 2...
16/12/2025

Hii ni mara ya pili kwa Sowah kutajwa kuwa kwenye hatihati ya kuikosa mechi ya Yanga ya de derby itakayopigwa march 1, 2026.

Mara ya kwanza aliukosa mchezo wa derby kwa kosa la kumpiga kiwiko Dgujui Diarra kwenye mchezo wa FA dhidi ya SINGID BS, msimu uliopita.

Mwaka huu k**a upepo na vumbi tu uelekeo ni mmoja, anaweza kuikosa derby kwa kosa la kumpiga kiwiko Himid Mao.

Kwa ufupi simba ina wachezaji wengi wasio na nidhamu ila Kante na Sowah ni k**a wanamashindano ya kupambania red card 🤣

Ametimiza Kipi.Hizo ni sera wakati anaomba ridhaa ya kuwa mwenyekiti wa simba!!!
16/12/2025

Ametimiza Kipi.

Hizo ni sera wakati anaomba ridhaa ya kuwa mwenyekiti wa simba!!!

Naamini na wewe umeanza kuamini kwanini Yanga Walijichomoa kwenye dili la Sowah!!
16/12/2025

Naamini na wewe umeanza kuamini kwanini Yanga Walijichomoa kwenye dili la Sowah!!

Mapinduzi ianze tu tuendelee kuenjoy soka!!!
15/12/2025

Mapinduzi ianze tu tuendelee kuenjoy soka!!!

Simba mkimrudisha huyu Yanga bingwa hadi 2040
14/12/2025

Simba mkimrudisha huyu Yanga bingwa hadi 2040

🆕MSIMU HUU NI TIMU NANE TU MAPINDUZI...Timu zitakazoshiriki Mapinduzi CupDesemba 29, 2025 hadi Januari 13, 2026✅ Azam FC...
13/12/2025

🆕MSIMU HUU NI TIMU NANE TU MAPINDUZI...

Timu zitakazoshiriki Mapinduzi Cup
Desemba 29, 2025 hadi Januari 13, 2026

✅ Azam FC - Tanzania Bara
✅ Fufuni FC - Zanzibar
✅ Yanga SC - Tanzania Bara
✅ Mlandege - Zanzibar
✅ URA FC. - Uganda
✅ Simba SC - Tanzania Bara
✅ KVZ FC. - Zanzibar
✅ Singida BS - Tanzania Bara

Ikumbukwe Bingwa Mtetezi Ni Mlandege A.KA MLASIMBA 🏆

JUST IN: Uongozi wa Simba umejadili na kupanga kuachana mazima na kocha Seleman Matola ,ili kumpa uhuru wa kufanya kazi ...
12/12/2025

JUST IN:
Uongozi wa Simba umejadili na kupanga kuachana mazima na kocha Seleman Matola ,ili kumpa uhuru wa kufanya kazi kocha mkuu ajae ambaye anatajwa kuja na benchi lake la ufund full.

WELCOME!Njia nyingine ya kumdhoofisha adui ni kumnyang'anya silaha zake!!!
11/12/2025

WELCOME!

Njia nyingine ya kumdhoofisha adui ni kumnyang'anya silaha zake!!!

Unahisi Asink alisikia neno gani mpaka akashika kichwa?🤣
11/12/2025

Unahisi Asink alisikia neno gani mpaka akashika kichwa?🤣

🤣🤣
11/12/2025

🤣🤣

Address

Kigoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shenny Sports News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Shenny Sports News:

Share