Michezo tz plus

Website

Michezo tz plus Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Michezo tz plus, Digital creator, Kigoma.

πŸ”₯ MICHEZO TZ PLUS β€” Chanzo Chako cha Kweli!
⚽ Simba | Yanga | NBC Premier League
🎡 Burudani | Mitindo | Nyota za TZ
πŸ† Tuna Kuleta Habari Za Moto Moja Kwa Moja!
πŸ“ Tanzania | Kibondo, Kigoma
πŸ“² Like & Follow Usikose Chochote

Kitu pekee nilichoweza kunyanyua nikiwa kule😭😭😭 Asanteni sana wananchiπŸ’šπŸ’›
12/07/2026

Kitu pekee nilichoweza kunyanyua nikiwa kule😭😭😭 Asanteni sana wananchiπŸ’šπŸ’›

09/07/2026
🚨 BABU CHAMA ALIAMSHA HUKO MSIMBAZI 🀣Inaelezwa kuwa Azam FC  wameamsha taharuki kwa vigogo wa Kariakoo baada ya kuandaa ...
09/07/2026

🚨 BABU CHAMA ALIAMSHA HUKO MSIMBAZI 🀣

Inaelezwa kuwa Azam FC wameamsha taharuki kwa vigogo wa Kariakoo baada ya kuandaa ofa nono kwa kiungo Clatous Chama, ambaye mkataba wake na Simba SC umefikia tamati.

Kwa mujibu wa taarifa zinazozunguka, Chama anadaiwa kuwa tayari amesaini makubaliano ya awali ya miezi sita, huku ikielezwa pia kuwa ofa ya Simba ya kumbakiza ni ndogo ikilinganishwa na ile ya Azam FC.

Iwapo tetesi hizi zitathibitika, dirisha la usajili la msimu huu linaweza kuanza kwa presha kubwa kati ya vigogo wa Kariakoo.

πŸ‘€ Je, unadhani Chama ataendelea Simba SC Tanzania au atatua Azam FC, au kutakuwa na mgeuko mwingine?

Mtalilipia kwa garama kubwa ili tukio
06/07/2026

Mtalilipia kwa garama kubwa ili tukio

Big thanks to Ediusi Lutol Kanehenehefor all your support! Congrats for being top fans on a streak πŸ”₯!
02/07/2026

Big thanks to Ediusi Lutol Kanehenehe

for all your support! Congrats for being top fans on a streak πŸ”₯!

Wanasimbaa tunaruhusiwa kuomba huyu jamaa akicheza na sisi asipaform vizuri mechi iwe mbaya kwake,lakini kwasasa huyu Ja...
01/07/2026

Wanasimbaa tunaruhusiwa kuomba huyu jamaa akicheza na sisi asipaform vizuri mechi iwe mbaya kwake,lakini kwasasa huyu Jamaa anahitaji Dua zetu njema kabisa kwasababu ni suala la kuokoa afya yake, Unaambiwa Ombea Adui yako aishi miaka mingi. Hivyo basi tumuombee Pakome apone awe fiti.
Sisi tutamcheka kiwango kikiporomoka sio akiumia k**a alivyoumia jana. πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½

30/06/2026

YANGA BIGWA MUMESKIA HUKO πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯😁😁😁

Niambieni tu bila kunifokea, Chama kamzidi nini OKELLO?πŸ˜…πŸ˜…
29/06/2026

Niambieni tu bila kunifokea, Chama kamzidi nini OKELLO?πŸ˜…πŸ˜…

Leo tunapga mtoto na mama yake🀣🀣🀣
28/06/2026

Leo tunapga mtoto na mama yake🀣🀣🀣

Jaribu kuwaza msimu ujao Okello akicheza timu moja na Aziz KiπŸ€”πŸ™Œ
27/06/2026

Jaribu kuwaza msimu ujao Okello akicheza timu moja na Aziz KiπŸ€”πŸ™Œ

Address

Kigoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Michezo tz plus posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share