T Sports HD

T Sports HD 🎯KARIBU T SPORTS HD, FACEBOOK 🆕
🎯 Habari za michezo duniani 🌏
🎯Tunapatikana Tanzania 🇹🇿
🎯Follow us please 🙏

Tajir kwenye usajili wa msimu ujao atumie billioni ngapi ili Ile Simba ya makombe irudi Tena 😂???
07/07/2025

Tajir kwenye usajili wa msimu ujao atumie billioni ngapi ili Ile Simba ya makombe irudi Tena 😂???

Wananchi mtamkumbuka Kwa lipi , fundi wa mpira Kennedy Musonda???
07/07/2025

Wananchi mtamkumbuka Kwa lipi , fundi wa mpira Kennedy Musonda???

Kwa Sasa hapa tanzania Hakuna Kiungo namba 10 anaye mzidi kiwango Feisal Salum,,,,,,,,....Tupo kwenye kilele cha ubora w...
07/07/2025

Kwa Sasa hapa tanzania Hakuna Kiungo namba 10 anaye mzidi kiwango Feisal Salum,,,,,,,,....
Tupo kwenye kilele cha ubora wake niwakati wake Sasa wa kuvuna pesa ✊✍️✍️

KOCHA WA MAKOMBE 🏆🏆🏆Bila shaka Azam fc msimu huu itasajir wachezaji kadhaa kutoka club ya Al hilal ya Sudan ....
06/07/2025

KOCHA WA MAKOMBE 🏆🏆🏆
Bila shaka Azam fc msimu huu itasajir wachezaji kadhaa kutoka club ya Al hilal ya Sudan ....

🔸Jean Charles Ahoua akitoa mchango zaidi ndani ya kikosi cha   akichangia katika magoli 2️⃣5️⃣ akifuatiwa na Leonel Ateb...
06/07/2025

🔸Jean Charles Ahoua akitoa mchango zaidi ndani ya kikosi cha akichangia katika magoli 2️⃣5️⃣ akifuatiwa na Leonel Ateba pamoja na Mukwala.

🔹 Pacome akitoa mchango zaidi ndani ya kikosi cha akichangia katika magoli 2️⃣2️⃣ akifuatiwa na Prince Dube aliyechangia katika magoli 2️⃣1️⃣

FOOTBALL 📸
05/07/2025

FOOTBALL 📸

Get well soon Jamal Musiala 🙏😭
05/07/2025

Get well soon Jamal Musiala 🙏😭

Stephane Aziz KI 🇧🇫 anatarajia kuondoka Wydad 🇲🇦 baada ya kocha Mohamed Benhachem kutoridhishwa na uwezo wake.. JE yanga...
04/07/2025

Stephane Aziz KI 🇧🇫 anatarajia kuondoka Wydad 🇲🇦 baada ya kocha Mohamed Benhachem kutoridhishwa na uwezo wake..
JE yanga waitarejesha Tena mali yao , Au Simba ndo watatumia gape hili Sasa kuchukua mali ???..

Kwenye heka heka za USAJILI nyakati k**a hizi ndipo utawapenda Azam fc Sasa , Mapema tuu wanatoa kitu wanaweka kitu,,..M...
04/07/2025

Kwenye heka heka za USAJILI nyakati k**a hizi ndipo utawapenda Azam fc Sasa , Mapema tuu wanatoa kitu wanaweka kitu,,..
Mpaka Sasa wameshatoa thank you Kwa Gibril Sillah , wameshusha Lameck lawi...


TETESI ZA USAJILI NA TSPORTS HD.Confirmed mshambuliaji Gibril Sillah amesaini klabu ya ES Setif ya Algeria. Hakuna uweze...
04/07/2025

TETESI ZA USAJILI NA TSPORTS HD.
Confirmed mshambuliaji Gibril Sillah amesaini klabu ya ES Setif ya Algeria. Hakuna uwezekano wa kusalia Ligi Kuu ya Tanzania Bara.


Dk 31 kwenye mechi 4 zilimtosha kabisa Jonas mkude kumaliza msimu wa NBC premier league 2024/25 akiwa na kikosi cha yang...
01/07/2025

Dk 31 kwenye mechi 4 zilimtosha kabisa Jonas mkude kumaliza msimu wa NBC premier league 2024/25 akiwa na kikosi cha yanga...
Hakuwa na majeraha , JE unahisi shida nini ilopelekea Jonas mkude kusugua benchi???


Address

Kigoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when T Sports HD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to T Sports HD:

Share